Magereza wakana kumsukuma Lissu mahakamani

Magereza wakana kumsukuma Lissu mahakamani

Akili yako haina akili. Wewe unaona mtu kupigwa ni haki? Imeandikwa kwenye sheria gani unatakiwa upigwe na jeshi la magereza au polisi? INAONEKANA HUJUI HAKI YAKO YA MSINGI. Total ignorant and stupid imbecile, Nyie ndio mnaofanya watanzania waonekane mazuzu.Umesema who is Tundu Lissu, ina maana hadi leo hujui ni nani? Mwambie mama yako Samia aruhusu uchaguzi wa haki, uone. Tukimpeleka Samia mahabusu kwa makosa ya utekaji, ubakaji, ulawiti, na mauaji ya watu wasio na hatia utaridhia akisukumwa aanguke chini? Toa upumbavu wako huko. Haki iwe kwa kila mtu, hao Magereza hawajui wanachofanya......Wanabisha wakati ukweli umeonekana. Stupid!
Watanzania wengi hawana elimu ya uraia, hivyo kupelekwa kama ng'ombe wanaona ni maisha ya kawaida kabisa.

Sasa huo umasikini wa fikra ukijumlisha na umasikini wa mali (ambao una undugu wa damu na roho mbaya na uchawi) ndio kabisaaa wanabaki kushangilia sheria zikivunjwa kuwaumiza wenzao. Yaani ni faraja kwa masikini wa kichwani na mfukoni kuona watu wengine wakinyanyaswa na kupokwa haki zao.
 
Hawajakanusha bali wamesema walimshughulikia kwa mujibu wa taratibu za Magereza. Soma barua uelewe acha kukariri mkuu.
Wewe kenge wa mama soma aya ya tatu ya huo uharo wa hao kenge wenzio. Tena wamekwambia si tu wanakanusha, bali wanakanusha vikali.
 
Tumezoea wanapiga wafungwa na mahabusu mpaka makofi, sasa Lissu kusukumwa tu wanaba msamaha, who is Lissu 🤣
Kupitia LISU jamii imepata mengi yanayoendelea kwenye magereza yetu . Uonevu ukiwa mfungwa au mahabusu ASKARI magereza wanakuchukulia kama mnyama hivyo kwa kilichotokea kwa Lissu ni hali halisi wanachofanyiwa wengine ambao hawana sauti
 
Wewe kenge wa mama soma aya ya tatu ya huo uharo wa hao kenge wenzio. Tena wamekwambia si tu wanakanusha, bali wanakanusha vikali.
Wewe nyumbu umesoma hapo tu basi? Soma pia barua yote wameelezea kilichotokea wewe shoga wa Mhaini.
 
Jeshi la Magereza limekanusha malalamiko ya CHADEMA na mawakili wa Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu kwamba alisukumwa mahakamani Julai 30, 2025 alipokuwa akitoka mahakamani.
Badala yake Magereza wamesema askari walikuwa wakimwelekeza kiongozi huyo kutoka mahakamani.
Taarifa iliyotolewa na Msemaji wa Magereza, Elizabeth Mbezi kupitia ukurasa wq Instagram wa jeshi hilo leo Agosti 2, imetetea pia uvaaji wa kininja wa askari magereza wanaomsindikiza Lissu.

View attachment 3428247
View attachment 3428249
Askari Magereza naye ni mfungwa tu
 
Kuvaa mask(ninja) ni sehemu ya mavazi ya magereza? Nadhani sare za jeshi la magereza zimeanishwa vizuri kwa mjibu wa sheria na mwogozo wa jeshi hilo. Hakuna sehemu imeandikwa askari magereza atavaa ninja.
 
Tumezoea wanapiga wafungwa na mahabusu mpaka makofi, sasa Lissu kusukumwa tu wanaba msamaha, who is Lissu 🤣
Na wewe *****! unaona ni sawa watuhumiwa kupigwa kama vibaka! Tuna mwendo mrefu bado kama asilimia kubwa ni kama wewe!
 
Back
Top Bottom