Magereza wakana kumsukuma Lissu mahakamani

Chadema ikitwaa Nchi kama tunavyotarajia tutashauri Jeshi la Magereza livunjwe
 
This bitch is an idiot par excellence! Hivi mtu unadirikije kukanusha incident ambayo imetokea mchana kweupe?
 

Kwani uvaaji huo (wa kuficha uso tena mahakamani) ni kwa mujibu wa sheria ipi?

Kuna kifungu cha sheria/katiba inayowataka askari magereza wafiche sura zao wakiwa mahakamani au hata katika majukumu yao ya kawaida?

Hii barua haina nukuu ya sheria, katiba au hata kanuni zao za utendaji. Barua yao wangewekea nukuu ya sheria/kanuni ili iwe na mashiko zaidi ya maneno mengi.
Wajuzi wa sheria mtusaidie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…