Magese amvaa albert Msando, Kisa picha za uchi.....

Magese amvaa albert Msando, Kisa picha za uchi.....

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Huyu cheus dawa nae kumbe ana majibu ya kunya, eti https://jamii.app/JFUserGuide off mxiee, kanajiona kashakua Beyoncé mwenyewe Kisa yupo US, ngoja siku awashwe kujifanya anakuja na project yake bongo mxiee awaambie hao hao akina naomi wamsapoti mxieew zake yan kanichefua mbwa huyu, nilivyosikia kanajiuzaga na huddah Uko Nigeria kwa matajir nikajua wanamzushia kumbe ndo michezo yake, tena anasifia kabisa et anapenda picha za uchi mxiew , bora ata akina gigy na amberlulu wanaonekana kabisa mafyatu hawajifich , kuliko huyu ajuza kutwa kujifanya mstaarabu kumbe hovyo mxie
IMG_2037.JPG
 
Albert msando nae alipanic bure, picha alopost Happiness magesse ilikuwa ya Naomi Campbell.
 
La diva,queen diva blaah blaah diva-bunch of bitches who Cant live without 5 Dick per day
 
Wakipata matatizo wanawaona watanzania wa maana ooh niombeeni mwenzenu nipo kwenye wakati mgumu,yakiisha wanasahau wanaanza shobo mchundo aiseee

Kama sio yeye aliyekua anajiliza kwa maumivu ya endo
 
Back
Top Bottom