Secret service ni taasisi ya ulinzi na usalama wa viongozi wakubwa wa marekani yani marais wote walio hai wa marekani na familia zao unapozungumzia ulinzi (protection) na usalama(security) ni tofauti na ujasusi( Intelligence) kama CIA sasa unapozungumzia SS kama taasisi ya ulinzi na usalama hapo unazungumzia matumizi ya mwili,silaha na akili tofauti na Intelligence ambapo matumizi ya akili ni makubwa sana kwani kazi kubwa ya Intelligence ni kukusanya taarifa na kuzifanyia kazi tu sasa ukusanyaji wa taarifa ni akili tu nguvu ni kidogo sana tena inatumika ikibidi
Matumizi ya mwili ina maana (mapambano ya mikono ) akili (matumizi makubwa ya hisia sita za utambuzi) silaha (matumizi ya vifaa vya moto vyenye vilipuzi) hii ndio kazi ya secret service sasa ukiangalia matumizi yote hayo yanaitaji mtu aliyekamilika kimwili na kiakili secret service ni taasisi kubwa sana na ina office ktk majimbo yote 50 ya marekani pia wengi wa agents wa SS wanafanya kazi kwenye U.S. Department of the Treasury so ikitokea agent wa SS wa upande wa Advance team au protection detals ambao ni walinzi wa rais na makamu wa rais so ikitkea akaumia au kukatika viungo anaweza kuamishwa kupelekwa department zingine au kukaa ofisini kufanya desk job
Pia ukiangalia huyo agent ni mkono wa kushoto ndio wanasema no fake nataka kuwambia 90% ya wazungu wanatumia mashoto kama sisi wa Africa tunavyotumia mkono wa kulia sasa mkono wa kushoto ndo mbovu mh napata tabu kukubali kutokana na matumizi au majukumu ya kikazi ya protection detals ya rais pia kama tunakumbuka waliwai kusema obama analindwa na Alien mpaka wakatoa mlinzi wake mmoja na kusema ni Alien sasa kisa umakini wake na kufafana kwa mbali na hawa viumbe wakasema ni Alien SS agents wke wako makini sana kwani wamepewa kazi ya kumlinda rais wa taifa kubwa duniani pia kaka wa dunia pia wamepewa kazi kumlinda mtu ambae kauli yake tu inaweza kuifanya dunia kuwa na amani au vita
Tanganyika kuna mtu anafanana kwa mbali na sokwe je huyo angekuwa secret service si wangesema rais analindwa na Gorilla? vyombo vya habari vya hasa marekani wanapenda sana mijadala sana yani watabuni kitu au mjadala wowote tu ili mladi tu internet iwe busy tu social net kuwe busy kwani ni fedha tu inaingia
Huyu agent hiyo ni stance (msimano ) watu wa mambo ya jeshi au ulinzi waliopitia mafunzo ya mapigano wanaelewa maana ya stance sasa bhasi watu wa ulinzi na usalama hawakai close stance hii wanakaa watu wa jeshi na police wao wanakaa open stance,even stance na oblique stance mfano wakikaa open stace mikono aidha wanaweka chini ya tumbo wakiwa wameikutanisha au wanaiweka nyuma ya mgongo chini kwenye kiuno mikono wanaikutanisha sasa huyu jamaa hiyo ni Oblique stance hakuna cha fake jacket au new technology hapo na kwa nini aweke mikono bandia ili iweje na mikono mingine ashike silaha dah hapo upo ulinzi wa clearence level tofauti 5 wapo wenye kushika silaha ,wapo wenye kuona vitu ambavyo mm na ww hatuwezi kuona kwa macho ya kawaida, na kila mtu anakazi yake na wajibu wake