Mageuzi kiteknolojia katika Ulinzi wa Rais Trump

Naona ktk video mara kadha kidole gumba na vidole vingine vya bodyguard vikiwa vinaonesha kukunjwa . Nadhani ni pozi lake adrenalin ikiwa juu kujitayarisha kumnyakua first lady kukitokea tishio pia kwa ajili ya wepesi wa kutoa silaha ndani ya koti lake kama itabidi kufanya hivyo au pia kuvuta uzi kufyatua moshi mzito kama wa kwenye fiesta za bongo utakaozuia Rais na First lady kuonekana kirahisi ktk harakati za kuwaondoa eneo hatarishi kama itatokea haja hiyo.
 
Hayuko peke yake Yupo na Mdada pembeni mwa jamaa (kushoto kwake)..
nae pia mkono wa kushoto una move lkn wa kulia uko vilevile (bandia).
Mkono halisi upo ndani bila shaka.
 
4fb0bd3771d4e704b67848935a09b0cf.jpg
ff98a5a2667f57b238fb9846231b754e.jpg
1976563e38e1394c848586bb4eb9568e.jpg
 
Ukitaka kujua kama mkono ni wake angalia size ya kichwa chake ,hivi vitu huwa vinaendana

Ni mbinu mpya niliyoigundua baada ya kumwangalia jamaa [emoji38]
 
Ameshika sub machie gun dani ya koti.
 
Mbona huo ulinzi niwakizani Saana, au haujawai kuitazama move ya Antonio berderese
 
Secret service ni taasisi ya ulinzi na usalama wa viongozi wakubwa wa marekani yani marais wote walio hai wa marekani na familia zao unapozungumzia ulinzi (protection) na usalama(security) ni tofauti na ujasusi( Intelligence) kama CIA sasa unapozungumzia SS kama taasisi ya ulinzi na usalama hapo unazungumzia matumizi ya mwili,silaha na akili tofauti na Intelligence ambapo matumizi ya akili ni makubwa sana kwani kazi kubwa ya Intelligence ni kukusanya taarifa na kuzifanyia kazi tu sasa ukusanyaji wa taarifa ni akili tu nguvu ni kidogo sana tena inatumika ikibidi

Matumizi ya mwili ina maana (mapambano ya mikono ) akili (matumizi makubwa ya hisia sita za utambuzi) silaha (matumizi ya vifaa vya moto vyenye vilipuzi) hii ndio kazi ya secret service sasa ukiangalia matumizi yote hayo yanaitaji mtu aliyekamilika kimwili na kiakili secret service ni taasisi kubwa sana na ina office ktk majimbo yote 50 ya marekani pia wengi wa agents wa SS wanafanya kazi kwenye U.S. Department of the Treasury so ikitokea agent wa SS wa upande wa Advance team au protection detals ambao ni walinzi wa rais na makamu wa rais so ikitkea akaumia au kukatika viungo anaweza kuamishwa kupelekwa department zingine au kukaa ofisini kufanya desk job

Pia ukiangalia huyo agent ni mkono wa kushoto ndio wanasema no fake nataka kuwambia 90% ya wazungu wanatumia mashoto kama sisi wa Africa tunavyotumia mkono wa kulia sasa mkono wa kushoto ndo mbovu mh napata tabu kukubali kutokana na matumizi au majukumu ya kikazi ya Protection Detail ya rais pia kama tunakumbuka waliwai kusema obama analindwa na Alien mpaka wakatoa mlinzi wake mmoja na kusema ni Alien sasa kisa umakini wake na kufafana kwa mbali na hawa viumbe wakasema ni Alien SS agents wke wako makini sana kwani wamepewa kazi ya kumlinda rais wa taifa kubwa duniani pia kaka wa dunia pia wamepewa kazi kumlinda mtu ambae kauli yake tu inaweza kuifanya dunia kuwa na amani au vita

Tanganyika kuna mtu anafanana kwa mbali na sokwe je huyo angekuwa secret service si wangesema rais analindwa na Gorilla? vyombo vya habari vya hasa marekani wanapenda sana mijadala sana yani watabuni kitu au mjadala wowote tu ili mladi tu internet iwe busy tu social net kuwe busy kwani ni fedha tu inaingia

Huyu agent hiyo ni stance (msimano ) watu wa mambo ya jeshi au ulinzi waliopitia mafunzo ya mapigano wanaelewa maana ya stance sasa bhasi watu wa ulinzi na usalama hawakai close stance hii wanakaa watu wa jeshi na police wao wanakaa open stance,even stance na oblique stance mfano wakikaa open stace mikono aidha wanaweka chini ya tumbo wakiwa wameikutanisha au wanaiweka nyuma ya mgongo chini kwenye kiuno mikono wanaikutanisha sasa huyu jamaa hiyo ni Oblique stance hakuna cha fake jacket au new technology hapo na kwa nini aweke mikono bandia ili iweje na mikono mingine ashike silaha dah hapo upo ulinzi wa clearence level tofauti 5 wapo wenye kushika silaha ,wapo wenye kuona vitu ambavyo mm na ww hatuwezi kuona kwa macho ya kawaida, na kila mtu anakazi yake na wajibu wake

Kwa ninavyoijua US na secret service pamoja na zile "Big five" +1 agencies na Technology iliyopo kwa sasa juu ya mifumo ya kiulinzi na usalama sidhani kama SS wanaweza kutumia mbinu hyo na sioni sababu ya wao kufanya hvyo kwani ulinzi wa rais unastage zake na SS wanaongozwa na kitu kinachoitwa presidential protection clearance level ambazo zipo 5 kuna matabaka 5 ya ulinzi wa rais sasa hii ya fake jacket au new tech basi itakuwa ya 6 kitu ambacho hakipo
SS ni nani?
 
Wangejilinda wasife au ningewaona wajanja ...
 
I salute you Sir!
 
kabla ya siku yenyewe watu wa usalama lazima kuangalia na kujaribu kuotea nini kinaweza kutokea, tazama zoezi hili
 
nmejaribu kuiangalia video naona ni mikono yake ila yuko well trained...wanajamvi naombeni muangali video kuanzia 2:47 - 2:55 mtaona mikono inamove kidogo.....au ni macho yangu mabovu.......
Ni kweli, ilikuwa inataka kurudishia koti. Ile mikono aieleweki lakini inacheza
 
Ni mikono yake halisi.. ukiangalia kwa makini utaona kuna movement inafanya hiyo mikono.. kuanzia dakika ya 2. Na kuendelea..
Mimi najiuliza kwa style hii. Kweli viwanda vitafunguliwa kweli. Maana watu wengi fikra zao zina waza tofauti na system ya viwanda

Na ndio maana trump [emoji448] anatusema waafrika na Waarabu
 
Haha hamna cha fake hands wala nini, tizameni video yote ya parade ya trump siku ya inauguration! Kuna video yenye 1:28:03; ukianza dakika ya 44-47 ndio utaelewa vyema! Hiyo ni mikono yake halisi!
 
Huo ni mpango uliofeli mpaka mimi najua bodguard ana mikono fake? Haina haja tena ya kuitumia
 
Naona ktk video mara kadha kidole gumba na vidole vingine vya bodyguard vikiwa vinaonesha kukunjwa . Nadhani ni pozi lake adrenalin ikiwa juu kujitayarisha kumnyakua first lady kukitokea tishio pia kwa ajili ya wepesi wa kutoa silaha ndani ya koti lake kama itabidi kufanya hivyo au pia kuvuta uzi kufyatua moshi mzito kama wa kwenye fiesta za bongo utakaozuia Rais na First lady kuonekana kirahisi ktk harakati za kuwaondoa eneo hatarishi kama itatokea haja hiyo.

Ni kweli mkuu kila mtu ananamna yake ya kujiposition kutokana na situation! Jamaa alikua karibu kabisa na anaowalinda na ukizingatia factors nyingi kama wingi wa watu, kutokubalika kwa trump na watu wengi ilikua lazima ajiandae haswa kwa lolote! Yeye aliona better kuwa vile! Hakuna ufake wowote pale!
 
Back
Top Bottom