Mageuzi kiteknolojia katika Ulinzi wa Rais Trump

Mageuzi kiteknolojia katika Ulinzi wa Rais Trump

Baada ya kuapishwa kwa Donald trump kama rais wa 45 wa nchi ya marekani,,,,watu wengi na wanachama wa jumuiya za kijasusi na kijeshi za sehem mbali mbali zilibaini kitu kisicho cha kawaida kwa mmoja wa bodyguards wa bw Trump.
View attachment 462806


¬benglasiSView attachment 462808

Hata huyo aliyeko mkono wa kushoto wa huyo jamaa pia ana mikono Bandia, ukiangalia Video iliyobandikwa kuanzia dakika ya 4.34 unatuona huyo mama mikono yake imenyooka tu
 
Dah! Haina dili tena maana washagundua hivo abadili style
 
Angalia hizo picha tofautitofauti, hiyo mikono ya bodyguard haiendani na mwendo wa mwili, ni mikono bandia, na mikono halali imefichwa ndani ya koti kwa ajili ya kushika silaha:

Na Yericko Nyerere

Siyo yeye peke yake , hata bodyguard wa kike aliyeupande wake wa kushoto nae ana mikono ya Bandia
 
Fani ya ujasusi inakua siku hadi siku na kila kukicha zinaibuka mbinu mpya za kiulinzi.

Hiyo mikono ya bodyguard wa Rais Trump haiendani na mwendo wa mwili, ni mikono bandia, mikono halisi imejificha ndani ya koti (fake jacket) kwa ajili ya kushika silaha...
View attachment 462720 View attachment 462721 View attachment 462722

nmejaribu kuiangalia video naona ni mikono yake ila yuko well trained...wanajamvi naombeni muangali video kuanzia 2:47 - 2:55 mtaona mikono inamove kidogo.....au ni macho yangu mabovu.......
 
Wale waliokuwa wanasema ni fake hands wapitie hiyo link hapo chini. Na kama uliangalia mkuu kabla ya magari kuondoka na Trump kukutana na Obama White house, kuna mahali utaona watu kama wawili au watatu ambao ni walinzi walishika makoti yao kwa style hiyo.

So the hands aren't fake as people think.

[VIDEO] Here's The Real Story On Trump Bodyguard's 'Fake Arms'

Kwanza huyo secret service agent si wa Trump. Ni wa FLOTUS Melania.

Halafu hiyo mikono alivyoiweka ndivyo inavyopaswa kuwa.

Huwa wanafundishwa hivyo.

Ni hali ya utayari kuingia kazini endapo italazimika kufanya hivyo.
 
Kwanza huyo secret service agent si wa Trump. Ni wa FLOTUS Melania.

Halafu hiyo mikono alivyoiweka ndivyo inavyopaswa kuwa.

Huwa wanafundishwa hivyo.

Ni hali ya utayari kuingia kazini endapo italazimika kufanya hivyo.
Mkuu tutake radhi.
 
Secret service ni taasisi ya ulinzi na usalama wa viongozi wakubwa wa marekani yani marais wote walio hai wa marekani na familia zao unapozungumzia ulinzi (protection) na usalama(security) ni tofauti na ujasusi( Intelligence) kama CIA sasa unapozungumzia SS kama taasisi ya ulinzi na usalama hapo unazungumzia matumizi ya mwili,silaha na akili tofauti na Intelligence ambapo matumizi ya akili ni makubwa sana kwani kazi kubwa ya Intelligence ni kukusanya taarifa na kuzifanyia kazi tu sasa ukusanyaji wa taarifa ni akili tu nguvu ni kidogo sana tena inatumika ikibidi

Matumizi ya mwili ina maana (mapambano ya mikono ) akili (matumizi makubwa ya hisia sita za utambuzi) silaha (matumizi ya vifaa vya moto vyenye vilipuzi) hii ndio kazi ya secret service sasa ukiangalia matumizi yote hayo yanaitaji mtu aliyekamilika kimwili na kiakili secret service ni taasisi kubwa sana na ina office ktk majimbo yote 50 ya marekani pia wengi wa agents wa SS wanafanya kazi kwenye U.S. Department of the Treasury so ikitokea agent wa SS wa upande wa Advance team au protection detals ambao ni walinzi wa rais na makamu wa rais so ikitkea akaumia au kukatika viungo anaweza kuamishwa kupelekwa department zingine au kukaa ofisini kufanya desk job

Pia ukiangalia huyo agent ni mkono wa kushoto ndio wanasema no fake nataka kuwambia 90% ya wazungu wanatumia mashoto kama sisi wa Africa tunavyotumia mkono wa kulia sasa mkono wa kushoto ndo mbovu mh napata tabu kukubali kutokana na matumizi au majukumu ya kikazi ya Protection Detail ya rais pia kama tunakumbuka waliwai kusema obama analindwa na Alien mpaka wakatoa mlinzi wake mmoja na kusema ni Alien sasa kisa umakini wake na kufafana kwa mbali na hawa viumbe wakasema ni Alien SS agents wke wako makini sana kwani wamepewa kazi ya kumlinda rais wa taifa kubwa duniani pia kaka wa dunia pia wamepewa kazi kumlinda mtu ambae kauli yake tu inaweza kuifanya dunia kuwa na amani au vita

Tanganyika kuna mtu anafanana kwa mbali na sokwe je huyo angekuwa secret service si wangesema rais analindwa na Gorilla? vyombo vya habari vya hasa marekani wanapenda sana mijadala sana yani watabuni kitu au mjadala wowote tu ili mladi tu internet iwe busy tu social net kuwe busy kwani ni fedha tu inaingia

Huyu agent hiyo ni stance (msimano ) watu wa mambo ya jeshi au ulinzi waliopitia mafunzo ya mapigano wanaelewa maana ya stance sasa bhasi watu wa ulinzi na usalama hawakai close stance hii wanakaa watu wa jeshi na police wao wanakaa open stance,even stance na oblique stance mfano wakikaa open stace mikono aidha wanaweka chini ya tumbo wakiwa wameikutanisha au wanaiweka nyuma ya mgongo chini kwenye kiuno mikono wanaikutanisha sasa huyu jamaa hiyo ni Oblique stance hakuna cha fake jacket au new technology hapo na kwa nini aweke mikono bandia ili iweje na mikono mingine ashike silaha dah hapo upo ulinzi wa clearence level tofauti 5 wapo wenye kushika silaha ,wapo wenye kuona vitu ambavyo mm na ww hatuwezi kuona kwa macho ya kawaida, na kila mtu anakazi yake na wajibu wake

Kwa ninavyoijua US na secret service pamoja na zile "Big five" +1 agencies na Technology iliyopo kwa sasa juu ya mifumo ya kiulinzi na usalama sidhani kama SS wanaweza kutumia mbinu hyo na sioni sababu ya wao kufanya hvyo kwani ulinzi wa rais unastage zake na SS wanaongozwa na kitu kinachoitwa presidential protection clearance level ambazo zipo 5 kuna matabaka 5 ya ulinzi wa rais sasa hii ya fake jacket au new tech basi itakuwa ya 6 kitu ambacho hakipo
Mkuu inaonesha uko vzr kwnye hii idara ebu tupe uzi zaidi am so much interested na hii kazi
 
Back
Top Bottom