Mageuzi kiteknolojia katika Ulinzi wa Rais Trump


Hata huyo aliyeko mkono wa kushoto wa huyo jamaa pia ana mikono Bandia, ukiangalia Video iliyobandikwa kuanzia dakika ya 4.34 unatuona huyo mama mikono yake imenyooka tu
 
Dah! Haina dili tena maana washagundua hivo abadili style
 
Angalia hizo picha tofautitofauti, hiyo mikono ya bodyguard haiendani na mwendo wa mwili, ni mikono bandia, na mikono halali imefichwa ndani ya koti kwa ajili ya kushika silaha:

Na Yericko Nyerere

Siyo yeye peke yake , hata bodyguard wa kike aliyeupande wake wa kushoto nae ana mikono ya Bandia
 
nmejaribu kuiangalia video naona ni mikono yake ila yuko well trained...wanajamvi naombeni muangali video kuanzia 2:47 - 2:55 mtaona mikono inamove kidogo.....au ni macho yangu mabovu.......
 

Kwanza huyo secret service agent si wa Trump. Ni wa FLOTUS Melania.

Halafu hiyo mikono alivyoiweka ndivyo inavyopaswa kuwa.

Huwa wanafundishwa hivyo.

Ni hali ya utayari kuingia kazini endapo italazimika kufanya hivyo.
 
Kwanza huyo secret service agent si wa Trump. Ni wa FLOTUS Melania.

Halafu hiyo mikono alivyoiweka ndivyo inavyopaswa kuwa.

Huwa wanafundishwa hivyo.

Ni hali ya utayari kuingia kazini endapo italazimika kufanya hivyo.
Mkuu tutake radhi.
 
Usalama bwana , eti unakesha kuangalia mikono za watu zina kama ni mzima au la[emoji23] [emoji23]
 
Mkuu inaonesha uko vzr kwnye hii idara ebu tupe uzi zaidi am so much interested na hii kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…