Mageuzi kiteknolojia katika Ulinzi wa Rais Trump

Siamini kama ni mlemavu wa mikono kweli, mikono iko ndani ya koti!
Nimelifuatilia kwenye habari waliyoandika "task&purpose" na clip ya video akirekebisha tai kwa hiyo hiyo mikono.

Kwa hiyo inaonekana mikono ni yake kabisa akijifanya kama ni fake
 
Nimelifuatilia kwenye habari waliyoandika "task&purpose" na clip ya video akirekebisha tai kwa hiyo hiyo mikono.

Kwa hiyo inaonekana mikono ni yake kabisa akijifanya kama ni fake
It is very interesting, but you never know, maybe the fixing his tie might have been the cover move 'to convince' and 'disguise'..in this trade a split second could cost you....there is never a time or even a thought to 'fix your tie'
Maybe hiyo move "fixing your tie" ndio ilifanya wadukuzi wa mambo wadhani something isnt right hapa..mara ya mwisho ni lini umeona bodyguard akiwa kazini anarekebisha tie?
 
May be you are right
 
Ungemalizia kila kitu mkuu, uko vizuri sana.
 
Mtoa mada usikurupuke kuleta udaku wa mitandaoni,tafuta full video ya hilo tukio utamuona huyo bodyguard anashika sikio na mkono wake, hakuna fake hands hapo.
 
Mbona ukiangalia vizuri unaona hadi mishipa ya damu ya huyo bodyguard?? Au ndo technology???
 
Mimi najiuliza kwa style hii. Kweli viwanda vitafunguliwa kweli. Maana watu wengi fikra zao zina waza tofauti na system ya viwanda

Na ndio maana trump [emoji448] anatusema waafrika na Waarabu
Kafungue wewe hivo viwanda, kila kitu viwanda wiwanda
 
Ahsante sana izzo,

Mimi nakuomba pm please
 
Ulinzi ndo suala la kwanza ktk ulimwengu huu
 
Hapo mbona unamtungua tu vizuri huyo trump,
kinachomsaidia secret service wameshacover majengo yote marefu mote humo anamopita,vinginevyo bodygurd huyo hawezi kuzuia shaba hata sikumoja hata awe na ujuzi vipi
 
Nilikuwa najiuliza nitaanzaje kuiweka hiyo issue ya US Presidential Security clearance level kutokana na walivyoshuku eti mkono bandia. Nashukuru sana mkuu kwa maelezo yako maana you have vomited and put it clearer. Cha msingi kujua ni kwamba utimamu na wepesi wa mwili na akili ya ziada hivyo ndivyo vitu vikuu vinavyoangalia. Katika maswala ya ulinzi na usalama hakuna mambo ya kufake zaidi ya uhalisia katika kupambana na mvamizi yeyote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…