Maggid Mjengwa achambua hoja za Jaji Sinde Warioba

Aliwalaumu polisi ndiyo lakini ona kule Nkasi waalimu nao wameunga juhudi za polisi na watendaji.
 
Si busara kabisa kumjadili Warioba badala ya hoja aliyoitoa kuepusha chaguzi za shari na hatari. Aidha, kila mtu ana uhuru wa maoni na kutoa dukuduku lake kwa mujibu wa katiba, akiwemo Warioba.

Tusihoji njia aliyotumia kutoa ujumbe wake, bali tuhoji mantiki ya ujumbe wake kwa mustakabali mwema wa taifa letu.
 
Sasa Mbona Wewe Majid Ni mwandishi Mkongwe sana umeamua Kuandika Kwa Kutumia Plat form hii?
1:Warioba alichokuwa anakusema siyo kumshauri Rais Nini afanye, alikuwa anatoa Elimu jumuishi juu ya Siasa, na Demokrasia Kwa jamii Pana Kwa ujumla wake
2:Warioba hakuna mipaka inamzuia Nini aseme Kwa wananchi Kwa ujumla wake lakini pia hatuna uhakika pengine ushauri huo kasha toa kwenye chama chake au viongozi wake
3:Hakuna sababu ya Kuona kwamba yeye alitakiwa asiseme Yale hadharani Kwa sababu, waliofanya Yale waliofanya Kwa utashi na weredi kabisa
 

Namshauri kila akionga maji yawe ya kijani alafu atumie sabuni ya njano, mwili utazidi kutakata na nyota itang’aa zaidi
Tuwe na jioni njema.
Salamu kwa Bw Balile waitu Mushanage
 
Mzee Warioba kasema kapigiwa simu na waandishi wengi sana, kila mmoja anataka kuongea naye kuhusu uchaguzi wa serikali za mitaa. Akaona hawezi kuongea nao mmoja mmoja, akaona ni bora awaite wote pamoja kwenye press conference aongee nao wote pamoja.

Mjengwa anauliza kwa nini Warioba hajaongea na watu wa serikali, hajasikia sehemu hii?

Mjengwa hajasikia Warioba aliposema anaongea na kila mtu, kuanzia watu wa serikali mpaka wapinzani?
 
Mjengwa ni miongoni mwa Chawa wa mwanzo kabisa
 
Mjengwa ni muandishi mkongwe ila mchumia tumbo na mpenda kutumika ukitaka kumjua vizuri angalia vipindi vya tbc vile vya kipropaganda vinaendeshwa na ayubu ryoba
Namjua toka nikiwa naye JKT na alikuwa rafiki wa karibu. Hakuna shida kuwa chama chochote, lakini ni vema kulitetea taifa letu kuliko propaganda au maslahi binafsi.
 
Huyu Maggid ni chawa hana moral authority ya kuhoji!
 
Tafakuri Jadidi :-
Maggid Mjengwa anataka kumtisha Mzee ???!!
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜…πŸ˜³
 

Very POOR ANALYSIS ...!!
 
Zamani miaka ya 2000 nilikuwa Nasoma Sana gazeti la Rai kabla halijauzwa kwa Rostam. Majid Mjegwa alikuwa anaandika hoja za maana sijui Nini kilitokea wakabadilik na kuwa na hoja mfu. Tanzania inarudi nyuma Sana kwa great thinkers Sasa hivi kabakia generali ulimwengu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…