Maggid Mjengwa achambua hoja za Jaji Sinde Warioba

U
Uchawa ukizidi unapofusha macho na Akili !
 
Naona ameandika kwa tahadhari kubwa sana kiasi cha kujiuliza sijui waandishi wetu wa habari, wamerogwa na nani!! Maana wengi siku hizi wanaandika makala yao kwa kuongozwa na matumbo, badala ya ubongo.
Hivi Tanzania mna waandishi wa wa habari bado ?

Maana siku hizi mtu ukiweza kumsifia tu mama Abdul kwenye account zako za mitandao ya kijamii ushakuwa mwandishi wa habari na unapata kazi kwenye media.

Mfano Baba Levo, Mwijaku , Sufiani, Masanja hao ndio waandishi wenu.

Tido Muhando alikuwa sawa kusema awamu ya 5 ilileta comedy journalism.
unafikiri wataandika nini zaidi ya kusema mama anaupiga mwingi?
 
Huyu naye ni chawa kama Lucas Mwashambwa tu.
 
Amezisalimisha akili zake kwa lile guluguja Amos Makalla
 
Kuna wakati wanaambiwa na kushauriwa ila hawataki kusikia.
Ndio maana unaona approach inabadilika
 
Mjengwa ungekuwa ni mtu anayeheshimika ningesema umejiondolea heshma kisa njaa!
Uwezo wako wa kupambana na hoja za mzee kweli unaishia hapo?!
Mzee Warioba ni raia huru umwelewe kama alivyojibu.
 

Asante Maggid kwa kuwa umetimiza wajibu wako wa kikatiba wa kusema fikra zako bila kukataliwa wala kudharauliwa.
Swali langu kwako ni hili, leo hii wangapi wamenyimwa fursa hiyo hiyo ya kikatiba, sababu wanachouliza hakiwapendezi wana siasa? Wengine mpaka kuumizwa na kujeruhiwa au kupotea kabisa?

Mbona maswali ya nani ni mtu anayejulikana na nani hajulikani katika uhalifu unaoendelea huwa hayaulizwi, ila inatokea shida pale maslahi ya siasa za chama dola yakiulizwa?

Vinginevyo tukae kimya. Ukimya hauna maana hakuna maswali. Ila ukiuliza unaweza kuwa public enemy, unless ujitumbukize kwenye lile group la kuimba sifa.

Mimi sitauza baraka yangu ya mzaliwa wa kwanza kwa bakuli ya dengue, halafu nikaishia kulialia, kama vile Esau alivyopiga mahesabu yake vibaya kwa Jacob mdogo wake
 
'Mzee Warioba ni mmoja wa wastaafu hao wanaolindwa saa 24 na Jeshi la Polisi. Ni kwa sheria na amri za kijeshi, bila kujali polisi hao ni wapenzi wa vyama gani"! Kifungu hiki Maggid anataka kutuambia mzee Warioba hana shukuruani, hapa tatizo la Maggid ni kuamini mzee Warioba analindwa kwa hisani ya mama Samia na CCM, sikutegemea kuwa anamawazo finyu kiasi hicho.
Kheri ya Maggid kuliko mwanajf mwenzetu wa kanda ya ziwa habari kama hizi huwa hashiriki kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…