Pre GE2025 Magodoro wanayogawiwa Wanafunzi wa Primary schools jimboni Kawe ni zawadi kutoka GSM au yanatoka kwa Mbunge Askofu Gwajima?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Pamekuwa na hekaheka ya Wazazi wa Wanafunzi wa Shule za Msingi kuitwa shuleni kupokea zawadi za magodoro madogo ya Watoto

Tunamshukuru Mungu wa mbinguni kwa hilo na tungependa tu kujua zawadi hizo zinatolewa na Mbunge wetu Askofu Dr Gwajima au zinatolewa na GSM wa Timu ya Wananchi

Jumaa Mubarak

CCM oyee πŸ˜„
 
Zawadi ya magodoro si zawadi , wapeni vitu vya maana
 
Njoo uchukue godoro, majibu utayapata hapa shuleni Kawe B,

Ukifika ulizia Mwl Mbuzingombe,
 
Hawiwezi kuwa Gwajima. Gwajima anadaiwa safari ya Marekani na wapiga kura wake
 
Ni heri godoro lakini, kuliko kanga na tisheti
Hapa Buhongwa, mtaa wa SHIBAYI juzi tumeuza sana kadi za CHADEMA za zamani, CCM walikuwa wanapita pita baadhi ya nyumba..bei ni elfu 4-6, siyo mbaya lakini tumebaki na zetu mpya zile za kidigitali, wao hawajui kuzitofautisha.Hatuna namna sasa tunakusanya kusanya hivyo hivyo angalau unapata kilo ya sukari maana ndiyo wakati wenyewe: Dar mnahongwa, Mwanza tunauza.
 
Wape wewe hivyo vitu vya maana.
Wapumbavu mnaleta uswahili na ujuaji kwenye kila jambo.
Moron.
Kanywe chai kwanza seems umeamka na njaa kali kijana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…