Pre GE2025 Magodoro wanayogawiwa Wanafunzi wa Primary schools jimboni Kawe ni zawadi kutoka GSM au yanatoka kwa Mbunge Askofu Gwajima?

Pre GE2025 Magodoro wanayogawiwa Wanafunzi wa Primary schools jimboni Kawe ni zawadi kutoka GSM au yanatoka kwa Mbunge Askofu Gwajima?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Pamekuwa na hekaheka ya Wazazi wa Wanafunzi wa Shule za Msingi kuitwa shuleni kupokea zawadi za magodoro madogo ya Watoto

Tunamshukuru Mungu wa mbinguni kwa hilo na tungependa tu kujua zawadi hizo zinatolewa na Mbunge wetu Askofu Dr Gwajima au zinatolewa na GSM wa Timu ya Wananchi

Jumaa Mubarak

CCM oyee 😄
Muhimu watu walalie, wewe unataka kujua kwa sababu gani? una mtoto pale?
 
Back
Top Bottom