Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 38,657
- 44,759
Kutoka koofia, kanga, Tshirt (mmavazi) sasa ni magodoro, net (malazi) mwishoni ubwabwaZawadi ya magodoro si zawadi , wapeni vitu vya maana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kutoka koofia, kanga, Tshirt (mmavazi) sasa ni magodoro, net (malazi) mwishoni ubwabwaZawadi ya magodoro si zawadi , wapeni vitu vya maana
Na vihela vya kubandika kope wanipe ili lori likitupitia kwenda kwenye kampeni niwe vyedi.....Bila kusahau t-shirt na kofia uvae upendeze madam😎
Muhimu watu walalie, wewe unataka kujua kwa sababu gani? una mtoto pale?Pamekuwa na hekaheka ya Wazazi wa Wanafunzi wa Shule za Msingi kuitwa shuleni kupokea zawadi za magodoro madogo ya Watoto
Tunamshukuru Mungu wa mbinguni kwa hilo na tungependa tu kujua zawadi hizo zinatolewa na Mbunge wetu Askofu Dr Gwajima au zinatolewa na GSM wa Timu ya Wananchi
Jumaa Mubarak
CCM oyee 😄
Hiyo shule watoto wengi ni wa CCM ndiyo maana imejaa wajinga haifaulishiMnapewa godoro ili muendelee kulala zaidi