Magogoni Ikulu imechoka, ni bora walivyoamua kuhamia Chamwino

Magogoni Ikulu imechoka, ni bora walivyoamua kuhamia Chamwino

Blender

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2022
Posts
4,870
Reaction score
8,035
Hii 👇 ni tukio la Leo

📍Dar es Salaam

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwa katika picha ya pamojana Balozi wa Tanzania nchini Comoro Mhe. SaidiYakubu mara baada ya mazungumzo yaliyofanyika IkuluJijini Dar es salaam tarehe 15 Mei 2024.

📸:O/Makamu wa Rais.

Angalia msingi wa ikulu,( foundation) yenye Rangi black, imeumuka,kuvimba Hii 👇 inasababishwa na uchakavu wa Jengo husika,

Ikichagizwa na natural conditions ya eneo husika mfano chumvi chumvi, magadi, maji maji.

Hongera Kwa kuhamia Chamwino, japo huko nako kuna magadi na chumvi ya kufa MTU.


20240515_165407.jpg
kutoka
 
Mwenge unabomoa nchi, tunalala kwa huzuni. Isaya 50:11

Isaya 50:11 BHN
Lakini nyinyi mnaowasha moto, na kujifanyia silaha za mienge, tembeeni kwa mwanga wa moto huo, miali ya moto mliowasha nyinyi wenyewe. Mtakachopata kutoka kwa Mwenyezi-Mungu ni hiki: Nyinyi mtalala chini na mateso makali.

Isaya 50:11 SRUV​

Tazama, ninyi nyote mwashao moto, mjifungiao hiyo mienge; endeni ninyi katika muali wa moto wenu, na katikati ya mienge mliyoiwasha. Mtayapata haya kwa mkono wangu; mtalala kwa huzuni.
 
Huwa najiuliza mijengo ya huko majuu ambayo inamiaka mamia na kule mvua ni za vipindi virefu jumlisha barafu lakini unakuta jengo halitetereki sijui walitumia teknolojia gani
Huko western countries wanajali vitu vyao na kuvidhamini.

Hizo tayarizi SS ni kama za tamisemi walizo zitumia kuziweka kwenye shule za kata
 
Kuna haja ya lazima ya Ku invest kwenye taasisi za serikali zinazo husika na ujenzi na fundi.

Jkt, temesa,vets etc wapewe ujuzi na elimu ya kutumia vifaa vya kisasa Generation ya 6 na wawe up-to-date kwenye New technologies and science,
 

ITitle ya Uzi mods wamebadilisha tayari 😂

Before: Magogoni Ikulu imeoza, ni bora walivyo amua kuhamia Chamwino​

After: Magogoni Ikulu imechoka, ni bora walivyo amua kuhamia Chamwino
 
Back
Top Bottom