Magogoni Ikulu imechoka, ni bora walivyoamua kuhamia Chamwino

Magogoni Ikulu imechoka, ni bora walivyoamua kuhamia Chamwino

Hii 👇 ni tukio la Leo

📍Dar es Salaam

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwa katika picha ya pamojana Balozi wa Tanzania nchini Comoro Mhe. SaidiYakubu mara baada ya mazungumzo yaliyofanyika IkuluJijini Dar es salaam tarehe 15 Mei 2024.

📸:O/Makamu wa Rais.

Angalia msingi wa ikulu,( foundation) yenye Rangi black, imeumuka,kuvimba Hii 👇 inasababishwa na uchakavu wa Jengo husika,

Ikichagizwa na natural conditions ya eneo husika mfano chumvi chumvi, magadi, maji maji.

Hongera Kwa kuhamia Chamwino, japo huko nako kuna magadi na chumvi ya kufa MTU.


View attachment 2990847kutoka
Ufisadi hua ni mfumo na unatengenezwa kwa muda mrefu Sana Ili watu wapigie hela bila kelele kwa kutuandaa kisaikolojia 😅😅.... Mkuu nimekusoma, kamateni hizo Tenda za kukarabati ikulu
 
Back
Top Bottom