Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Naombaje tenda ya kukurabati hilo jengo ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NmekufaKumbe bado hupo jamvin mkuu
Alaaa!?Safi kabisa!Tayarizi chapati za kizungu
Ni kweli nyumba nyingi za dar , ni za kuvunjwa,Ingekuwa rangi ikiwa hivyo msingi umeoza labda 75% ya Nyumba za Dar zingekuwa za kuvunja....
Nafikiri utafute Elimu zaidi ya Rangi......+ weathering
Hahahahaha..siku mkisikia nimepata tenda ya ukarabati wa ikulu ,mtakuja kuanzishq nyuzi za ufisadiMuone muuza madafu, AU yule protocal
Kuna Muda serekare inazingua kinoumaaaaa lo
Ni kweli nyumba nyingi za dar , ni za kuvunjwa,
Kwa hiyo Rangi iliyowekwa haistaimili jua, na joto, wakati imepakwa Hata miaka 5 haifiki.
Mkuu Bora TU, unyamaze , unaibua mambo mengine
Enzi hizo hapakuwa na DPM?Hii 👇 ni tukio la Leo
📍Dar es Salaam
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwa katika picha ya pamojana Balozi wa Tanzania nchini Comoro Mhe. SaidiYakubu mara baada ya mazungumzo yaliyofanyika IkuluJijini Dar es salaam tarehe 15 Mei 2024.
📸:O/Makamu wa Rais.
Angalia msingi wa ikulu,( foundation) yenye Rangi black, imeumuka,kuvimba Hii 👇 inasababishwa na uchakavu wa Jengo husika,
Ikichagizwa na natural conditions ya eneo husika mfano chumvi chumvi, magadi, maji maji.
Hongera Kwa kuhamia Chamwino, japo huko nako kuna magadi na chumvi ya kufa MTU.
View attachment 2990847kutoka
Yote Kher TuMimi sio Engineer ila nilisoma kuwa, a high quality paint can last for about 7 to 10 years when painted exterior; however there are many factors which can alter the life span such as weather, temperature, salinity etc
Sasa kwa Chumvi, na joto la Dar; hata ukipata rangi yenye ubora kiasi gani; sana sana itabakia na ubora wake kwa miaka mitatu ikizidi minne.
Ninachotaka kusema nikuwa, kilichoharibika pale ni RANGI na sio msingi.....Kwa maana hiyo nyumba nyingi za Dar zina ubora stahiki wanachotakiwa ni kurudia Rangi kila baada ya miaka kadhaa kutegemeana na ubora wa rangi waliyo tumia
Ahsante mkuu,hizi ndio dua za kuombeana...tuko pamoja mkuu, Mungu akubariki na kusimamia mambo yako yoteNakuombea upate coz ukipata ww nimepata mm, tz nchi ya Amani
Msamiati "kuoza " ni kwa ajili ya viumbe hai tu.So hapo wamefanya marekebisho ya lugha tu.ITitle ya Uzi mods wamebadilisha tayari 😂
Before: Magogoni Ikulu imeoza, ni bora walivyo amua kuhamia Chamwino
After: Magogoni Ikulu imechoka, ni bora walivyo amua kuhamia Chamwino