Blender
JF-Expert Member
- Mar 5, 2022
- 4,870
- 8,035
- Thread starter
- #21
Ina maana CEO raisi analala Kwa tabu Sana 😂, na kuna Muda analala chini kabisa 😂Mwenge unabomoa nchi, tunalala kwa huzuni. Isaya 50:11
Isaya 50:11 BHN
Lakini nyinyi mnaowasha moto, na kujifanyia silaha za mienge, tembeeni kwa mwanga wa moto huo, miali ya moto mliowasha nyinyi wenyewe. Mtakachopata kutoka kwa Mwenyezi-Mungu ni hiki: Nyinyi mtalala chini na mateso makali.
Isaya 50:11 SRUV
Tazama, ninyi nyote mwashao moto, mjifungiao hiyo mienge; endeni ninyi katika muali wa moto wenu, na katikati ya mienge mliyoiwasha. Mtayapata haya kwa mkono wangu; mtalala kwa huzuni.