Huwa najiuliza mijengo ya huko majuu ambayo inamiaka mamia na kule mvua ni za vipindi virefu jumlisha barafu lakini unakuta jengo halitetereki sijui walitumia teknolojia gani
Huko western countries wanajali vitu vyao na kuvidhamini.Huwa najiuliza mijengo ya huko majuu ambayo inamiaka mamia na kule mvua ni za vipindi virefu jumlisha barafu lakini unakuta jengo halitetereki sijui walitumia teknolojia gani
Mtumishi kumzidi sauli wa kwenye biblia?Si unajua ni mtumishi wa Mungu
Hehee tupigie picha za ndani ya msingi na sisi tuone....Ikulu imejengwa na Germany, UK,
Tiles hazisaidi chochote Hapo, huo msingi umeoza Kwa ndani kabisa
Mkuu SS tutafanyaje tuweze Kuangalia Kwa ndani.Hehee tupigie picha za ndani ya msingi na sisi tuone....
Mkuu hiyo hali ya kawaida kweny nyumba