Ndio kila timu inafungwa lakini siyo goli 10 kwa mechi 2.Sidhani kama suluhisho ni kufukuza kocha au kupangua benchi la ufundi (unless sababu za vipigo hivyo ni hao watu na ni za makusudi)
Kila team huwa inafungwa, cha muhimu ni kujitathmini ni wapi hapakuwa sawa ili kujirekebisha next time out.
Ukisema kufukuza fukuza zingatia mikataba n.k inaweza kuiweka club katika hali ambayo sio nzuri (financially)
Spurs alimfunga Wigan 9 ndani ya dakika 90.. Man U alimfunga Arsenal 8 ndani ya dakika 90.
Na kweli ni yakisomi sanamsituharibie Timu yetu.
simba siku hizi inaendeshwa kisomi.
sio kama yanga ya mzee akili mali
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkitwaa ilo kombe nakun*ya iringa mbeyaMpira ni uwekezaji wenzetu wamewekeza vizuri kwa miaka mingi sisi Simba ndio tunaanza uwekezaji na mkataba aliosaini kocha wa Simba ni kuhakikisha timu inafika kwenye makundi msimu huu na amefikia malengo...kwaio tunajua tunachokitafuta sisi bado wachanga katika huu mpira wa kisasa ila Tumeanza mikakati na malengo ya Simba ni ndani ya miaka mitano (5) tuwe tumetwaa kombe la Africa kwaio huu ndio Kwanza mwaka wa pili....Ushauri tukitaka kushindana kikweli kweli ni kuchukua wachezaji kweli kweli kwenda Zambia kuchukua mfungaji Bora wa ligi yao,Kwenda Ghana kuchukua Beki bora,Kwenda Kenya kuchukua Beki bora,Kwenda Uganda kuchukua winga Bora, Yani nikwenda kuchukua Top player ilo ndio wanalolifanya Mazembe...uzuri kwamba Mo dewji ukiacha uwekezaji pia ni shabiki kindaki ndaki Kama sisi matokeo haya nae yamemuumiza Sana Kama sisi
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa maelezo yako unakubaliana na shafii kuwa simba ni underdogMkuu mpira umeanza lini kuujua? Samahani kwa swali hilo ila sina nia ya kukudharau ila nashangaa kuona kuwa Simba kufungwa goli 10 ndani ya dakika 180 ni jambo la ajabu hasa ukizingati aina za team tulizocheza nazo.
Hii haina tofauti na na Ulaya kule ukute team labda ya Romania huko CFR Cluj imequalify kucheza CL alafu iko group moja na top dogs wa Ulaya labda Barca na team nyingine tuchukue hata Schalke 04. Hapo unategemea Cluj watafurukuta vipi?
Tuweni realistic jamani, tuliposhinda ile mechi ya mwanzo watu mlikua na over expectations. Mlikua delusional.
Unakataaje wakati ndio tushakula 10 Game 2...
Hawa professional tunaokoteza tu ndugu, hatujawa makini na mashindano haya,Ni kweli sisi tunaweza kuwa ni underdog kwa al ahaly na as vital ilo tupo pamoja!!!! Mimi hoja yangu ni kwa hawa professional players tunaowalipa millionz of money, na mwisho wa siku they deliver nothing kwenye haya mashindano ndomana Mimi naungana na mtoa mada lazima kitu kifanyike. Thamani ya kikosi cha as vital ni 1.6billion na simba 1.8b meanz kumbe tunauwezo mzuri tu wakukinunua kikosi kizima cha as vital. Why as vital kikosi chao thamani yao kinaenda na thamani ya simba lakini wao wanaperform sisi tu nashindwa. Kuna matatizo mengi sana kwenye idara ya usajili wa simba ndomana wameweza kutuletea garasa kaulibaly na hapa hapa majuzi juzi wametuleta wachezaji kwa ajili ya majaribio badala ya kununua complete players.Inatupasa tuanze upya
Kibaya ni timu kushindwa kukaba wkt hawana uwezo wa kushinda, sio mbaya tujifunzeSpurs alimfunga Wigan 9 ndani ya dakika 90.. Man U alimfunga Arsenal 8 ndani ya dakika 90.
Ni mpira gani nyie huwa mnaangalia?
Zaidi ya 10b na ndio thamani ya timu yenuKweli kabisa mkuu wanaenda okota okata magarasa uko et proffesion players!!!! Uza na nunua kikos kizima cha as vital
Mkuu wenzetu wacongo kwao ni njaa kali na maisha ni magumu ndyo maana wachezaji wao wakipata nafasi ya kuchezea hizi timu kubwa wanajituma kweli kweli kwa sababu wanajua nje ya hpo mtaani hakukaliki na akizembea tu namba inachukuliwa na mwenye njaa zaidi tofauti na bongo mchezaji hta akipigwa benchi anapewa posho elfu themaniniKiongozi, thamani ya vikosi vya Vita na Simba kuwa karibia sawa sawa, lakini Vita kuwa juu, inaonyesha ligi ya Congo ni bora kuliko ya kwetu.
Ufumbuzi ni mmoja tu. Tuumize vichwa kuboresha ligi yetu iwe na ushindani wa kutosha.
Kwa hiyo unamaanisha kuna 5_0 nyingine inakuja? Maana naona 5*3