Magoli ya Simba kwa Stand Utd ni mepesi sana, nini kipo nyuma ya pazia?

Simba hivi sasa ni mwendo wa kununua mechi tu dah kwa hali hii soka la bongo tutasubiri sanaa.
 
Pole mtani wangu.[emoji16][emoji16][emoji16].
Mbona magoli yote yalikuwa ya kusisimua! ni kwakuwa ulikua na matarajio makubwa ya kufungwa Simba.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Karia-Simba
Kidau-Simba
.Mguto-Simba
Wambura-Simba
Ndimbo-Simba
Waziri--Simba!!!
 
Karia-Simba
Kidau-Simba
.Mguto-Simba
Wambura-Simba
Ndimbo-Simba
Waziri--Simba!!!
 
Nina wasiwasi mpira haujacheza wewe Yani unamlaumu kipa badala ya beki kwenye free header? Na unalaumu goli la kichwa Cha kudundisha ? Yani Kama unajua mpira uwezi kumlaumu kipa ila mpongeze mpigaji tuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Simba hivi sasa ni mwendo wa kununua mechi tu dah kwa hali hii soka la bongo tutasubiri sanaa.
Nyie jana Mlitoa shilingi ngapi mtani..


PUMBAFu wenzenu Wanapamban kutembeza bakuli nyie mnaenda kumuonga refa!..jana mlibebwa mwanzo mwisho mpaka na penat ya bure mkaishindwa vyura nyie

Young kilimanjaro
 
Ile mechi waliofungwa na stand nayo ichungwe . Haiwezekani wafungwe goli moja tu tena na mchaga wa kishimundu
Jana madogo wanabaniwa dhidi ya Rambirambi fc hukupost k2. kila gem ya simba ichunguzwe na zen vipi? hamkupewa penalt ya uwongo jana japo hamna mfungaji?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…