Kinyonyoke
JF-Expert Member
- Oct 4, 2016
- 3,498
- 13,138
Simba hivi sasa ni mwendo wa kununua mechi tu dah kwa hali hii soka la bongo tutasubiri sanaa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole mtani wangu.[emoji16][emoji16][emoji16].Mtanange wa leo wa ligi kuu bara, uliopigwa katika dimba la Kambarage pale Shinyanga, Simba ameibuka na ushindi wa goli 2-0. Hongereni kwa hilo.
Ila kuna kitu kinanipa mashaka, magoli waliyofunga ni marahisi sana, yaani wamerahisishiwa namna ya kupata magoli hayo, kwa kifupi ni kama kupigana na mlevi aliyepo chakari.
Goli la kwanza ni la penati. Mpira umemgusa mchezaji wa Stand begani, refarii akakimbilia kutenga tuta, na John Bocco akafunga.
Goli la pili, offside ya wazi kabisaaaaa, John Bocco alibaki pekee yake na kipa halafu yule kipa sikuelewa ni kwa namna gani mpira uliompitia karibu ashindwe walau hata kuugusa. INASHANGAZA!
Inaonekana Simba kwa sasa wanapeleka miamala pande mbili, kwa wasimamizi wa mchezo bila kusahau kwa mabeki na magolikipa wa timu pinzani. Hebu kumbuka walau goli la faulo alilofungwa kipa wa Lipuli juzi, ni AIBU.
Mpira wetu bado una safari ndefu sana.
Nawasilisha...
Nina mashaka na mtoa mada asije akawa ni mze IBRAHIM AKILIMANI huyu
Yanga ilinunuliwa kwa sh ngapi mkuu?Simba hivi sasa ni mwendo wa kununua mechi tu dah kwa hali hii soka la bongo tutasubiri sanaa.
Nina wasiwasi mpira haujacheza wewe Yani unamlaumu kipa badala ya beki kwenye free header? Na unalaumu goli la kichwa Cha kudundisha ? Yani Kama unajua mpira uwezi kumlaumu kipa ila mpongeze mpigaji tuuMtanange wa leo wa ligi kuu bara, uliopigwa katika dimba la Kambarage pale Shinyanga, Simba ameibuka na ushindi wa goli 2-0. Hongereni kwa hilo.
Ila kuna kitu kinanipa mashaka, magoli waliyofunga ni marahisi sana, yaani wamerahisishiwa namna ya kupata magoli hayo, kwa kifupi ni kama kupigana na mlevi aliyepo chakari.
Goli la kwanza ni la penati. Mpira umemgusa mchezaji wa Stand begani, refarii akakimbilia kutenga tuta, na John Bocco akafunga.
Goli la pili, offside ya wazi kabisaaaaa, John Bocco alibaki pekee yake na kipa halafu yule kipa sikuelewa ni kwa namna gani mpira uliompitia karibu ashindwe walau hata kuugusa. INASHANGAZA!
Inaonekana Simba kwa sasa wanapeleka miamala pande mbili, kwa wasimamizi wa mchezo bila kusahau kwa mabeki na magolikipa wa timu pinzani. Hebu kumbuka walau goli la faulo alilofungwa kipa wa Lipuli juzi, ni AIBU.
Mpira wetu bado una safari ndefu sana.
Nawasilisha...
Hapo kabla ilikuwa,Karia-Simba
Kidau-Simba
.Mguto-Simba
Wambura-Simba
Ndimbo-Simba
Waziri--Simba!!!
ID yako yatosha.Jana madogo wanabaniwa dhidi ya Rambirambi fc hukupost k2. kila gem ya simba ichunguzwe na zen vipi? hamkupewa penalt ya uwongo jana japo hamna mfungaji?
Hata ile mechi waliyomfumua marinda Yanga walinunuaSimba hivi sasa ni mwendo wa kununua mechi tu dah kwa hali hii soka la bongo tutasubiri sanaa.
Nyie jana Mlitoa shilingi ngapi mtani..Simba hivi sasa ni mwendo wa kununua mechi tu dah kwa hali hii soka la bongo tutasubiri sanaa.
Hata mechi ya ndala tulinunuaSimba hivi sasa ni mwendo wa kununua mechi tu dah kwa hali hii soka la bongo tutasubiri sanaa.
Jana madogo wanabaniwa dhidi ya Rambirambi fc hukupost k2. kila gem ya simba ichunguzwe na zen vipi? hamkupewa penalt ya uwongo jana japo hamna mfungaji?
Karia-Simba
Kidau-Simba
.Mguto-Simba
Wambura-Simba
Ndimbo-Simba
Waziri--Simba!!!