Magolikipa waliotamba zamani nchini

Magolikipa waliotamba zamani nchini

James Kisaka alikuwa ni kiboko.
Alikuwa anazuia mikwaju ya Celestine Sikinde Mbunga.
 
Makipa waliotamba miaka ya 1970-1980

Elias Michael-Yanga
Kitwana Manara-Cosmo/Yanga
Muhidin Fadhili-Yanga
Patrick Nyaga-Yanga/Pan Africa
Mbaraka Salum -Simba
Hassan Mlapakolo -Simba
Greyson Mwamaja-Simba
John Semainda-Simba
Omary Mahadhi-Simba
Hemedi Mussa-Reli Moro/Tanga
Athuman Mambosasa -Simba
Juma Pondamali-Yanga/Pan African
William-Mwadui
Hussein Komba -Pamba Mza
Hamisi Boko -Pamba Mwanza
Machapati-Balimi
 
Peter Manyika- Yanga
Hamis Makene - Coastal
Mackenzi Ramadhan - Simba
 
Bila shaka unamaanisha Morris Nyuchi wa Nyota Nyekundu. Alipoondoka Morris Nyuchi akaja John Bosco, alitamba sana Nyota Nyekundu alipooenda Simba akawa Bomu.

Mkala Maulid, kipa wa CDA baadaye Yanga , Bahatisha Ndulute kipa wa Ushirika Moshi chini ya kocha mahiri Oscar Dan Koroso.

Enzi zile za 1980 Coastal walikuwa na kipa aitwaye Hamis Jack, ndiye aliyekuwa sub wa Hamis Kinye T stars.

Vv
Pia msiahau markezi Ramadhan huyu alikuwa golkipa mahiri wa Simba sc
 
Patrick Nyaga - Mseto - Yanga
Semainda - Simba
Mbaraka - Simba
Bernald Madale - Yanga
Dunia Adonis - Yanga
Idi Msakaa (Ally Yusuph) - Pan Africa
Hamis Korosheni - KMKM
Ally Bushiri - Malindi
Ridhaa Hamsin - Malindi
 
Naomba niwakumbushe kuanzia miaka ya 1970 mpaka miaka 1990. Tanzania iliwahi kuwa na makipa mahiri sana walipokuwa langoni. Yule ambaye hakuwai kuwaona hata mmoja kati ya hawa nitakaowataja hapa chini basi ni kweli walikosa uondo, ingawa wengi wao wameshatoweka duniani lakini bado tunawakumbuka. Je nani alikuwa kipa bora? Mimi naona ni marehemu athumani mambosasa

1. athumani mambosasa- alikuwa na kipaji kikubwa sana alipokaa langoni- alichezea simba
2. omari mahadhi bin jabir- alikuwa pia na kipaji kikubwa sana jezi yake ilikuwa namba 0- simba
3. hamisi kinye- alikuwa haomtoki mpira mkononi. Uliwahi kumtoka siku yanga ilipocheza na majimaji ya songea mwanzoni mwa miaka 1980, iliukwa ni mpira uliopigwa na selestin sikinde mbunga-alichezea yanga
4. juma pondamali- alikuwa na madaha na mbwembwe nyingi alipokua langoni- alichezea pan africa
5. joseph fungo- alikuwa mgumu sana kufungika- alichezea yanga
6. iddi pazi- alikuwa kipa mzuri sana miaka ile. Ndie aliyekuwa mpigaji mzuri wa penalt-alichezeasimba
7. madata lubigisa- alitamba sana kipindi chake baada ya kuwa na defence imara ya kina george masatu- alichezea pamba ya mwanza.
8. ali bushiri- akikaa golini alikuwa anapendeza, taifa stars walipata taabu sana kumfunga walikuwa wanakutana na zanzibar. Alichezea kmkm ya zanzibar
9. james msigala- alikuwa kipa mrefu sana, na alikuwa afungiki kwa mipira ya juu- alichezea plisner
10. Mohamed mwameja- a
likuwa hafungiki kirahisi katika penalt, ndiye aliyeipa ubingwa simba kwenye michuano ya afrika na kati kule zanzibar-alichezea simba
11. Ramadhani korosheni-
ni kipa mzuri alikuwa anadaka vizuri sana vichwa vya mbizi vya abeid mziba-alichezea small simba ya zanzibar.
12, Kichochi Lemba- Alivuma kwa umahiri wake alipokuwa langoni na wakati mwingine alikuwa anavaa kofia akiwa golini pia alijua sana kucheza mipira cross na mipira ya kona- Alichezewa RTC KAGERA

Ama kweli magolikipa tulikuwanao
Umemsahau Diffu wa COSMOS. Elias Michael wa Yanga, Kitwana MANARA wa Yanga na timu ya taifa. Patrick Nyagah Pan Africa, Mkandawile Simba, Muhidini Yanga
 
Umemsahau Diffu wa COSMOS. Elias Michael wa Yanga, Kitwana MANARA wa Yanga na timu ya taifa. Patrick Nyagah Pan Africa, Mkandawile Simba, Muhidini Yanga
Naongeza Mbaraka Salum wa Sunderland miaka ya sitini.
 
Back
Top Bottom