Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmmhhhhamis gagalino
edibili lunyamila
mrisho ngasa
Huyu namkumbuka sana kwa mbwembwe zake akiwa langoni!Kichochi Lemba RTC Kagera
Pia msiahau markezi Ramadhan huyu alikuwa golkipa mahiri wa Simba scBila shaka unamaanisha Morris Nyuchi wa Nyota Nyekundu. Alipoondoka Morris Nyuchi akaja John Bosco, alitamba sana Nyota Nyekundu alipooenda Simba akawa Bomu.
Mkala Maulid, kipa wa CDA baadaye Yanga , Bahatisha Ndulute kipa wa Ushirika Moshi chini ya kocha mahiri Oscar Dan Koroso.
Enzi zile za 1980 Coastal walikuwa na kipa aitwaye Hamis Jack, ndiye aliyekuwa sub wa Hamis Kinye T stars.
Vv
Steven Nemes alianzia Majimaji, akaja Yanga alikocheza muda wa kutosha.Steven Nemensi wa simba
Ofen Martin ''Chusa'' Ushirika enzi hizo
Peter Manyika wa Yanga
Umemsahau Diffu wa COSMOS. Elias Michael wa Yanga, Kitwana MANARA wa Yanga na timu ya taifa. Patrick Nyagah Pan Africa, Mkandawile Simba, Muhidini YangaNaomba niwakumbushe kuanzia miaka ya 1970 mpaka miaka 1990. Tanzania iliwahi kuwa na makipa mahiri sana walipokuwa langoni. Yule ambaye hakuwai kuwaona hata mmoja kati ya hawa nitakaowataja hapa chini basi ni kweli walikosa uondo, ingawa wengi wao wameshatoweka duniani lakini bado tunawakumbuka. Je nani alikuwa kipa bora? Mimi naona ni marehemu athumani mambosasa
1. athumani mambosasa- alikuwa na kipaji kikubwa sana alipokaa langoni- alichezea simba
2. omari mahadhi bin jabir- alikuwa pia na kipaji kikubwa sana jezi yake ilikuwa namba 0- simba
3. hamisi kinye- alikuwa haomtoki mpira mkononi. Uliwahi kumtoka siku yanga ilipocheza na majimaji ya songea mwanzoni mwa miaka 1980, iliukwa ni mpira uliopigwa na selestin sikinde mbunga-alichezea yanga
4. juma pondamali- alikuwa na madaha na mbwembwe nyingi alipokua langoni- alichezea pan africa
5. joseph fungo- alikuwa mgumu sana kufungika- alichezea yanga
6. iddi pazi- alikuwa kipa mzuri sana miaka ile. Ndie aliyekuwa mpigaji mzuri wa penalt-alichezeasimba
7. madata lubigisa- alitamba sana kipindi chake baada ya kuwa na defence imara ya kina george masatu- alichezea pamba ya mwanza.
8. ali bushiri- akikaa golini alikuwa anapendeza, taifa stars walipata taabu sana kumfunga walikuwa wanakutana na zanzibar. Alichezea kmkm ya zanzibar
9. james msigala- alikuwa kipa mrefu sana, na alikuwa afungiki kwa mipira ya juu- alichezea plisner
10. Mohamed mwameja- alikuwa hafungiki kirahisi katika penalt, ndiye aliyeipa ubingwa simba kwenye michuano ya afrika na kati kule zanzibar-alichezea simba
11. Ramadhani korosheni- ni kipa mzuri alikuwa anadaka vizuri sana vichwa vya mbizi vya abeid mziba-alichezea small simba ya zanzibar.
12, Kichochi Lemba- Alivuma kwa umahiri wake alipokuwa langoni na wakati mwingine alikuwa anavaa kofia akiwa golini pia alijua sana kucheza mipira cross na mipira ya kona- Alichezewa RTC KAGERA
Ama kweli magolikipa tulikuwanao
Naongeza Mbaraka Salum wa Sunderland miaka ya sitini.Umemsahau Diffu wa COSMOS. Elias Michael wa Yanga, Kitwana MANARA wa Yanga na timu ya taifa. Patrick Nyagah Pan Africa, Mkandawile Simba, Muhidini Yanga
bahatisha ndulute,ushirika moshiYaani wewe ni wa zamaniiiii mpaka ni nimefurahi....
Mohamed Nyalusi,Yanga.
Sadik Kalokola,Yanga
Joseph Katuba,R.I.P,Yanga
Rifat Said,R.I.P,Yanga
Doyi Moke,Yanga
Chachala Muya,Yanga.