Magoma na Mwaipopo Walindwe

Magoma na Mwaipopo Walindwe

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Natoa wito kwa jeshi la Polisi kuhakikisha kwamba, Wazee hawa wapenda haki walioshinda kesi ya kuikomboa Timu yao ya Yanga kwenye mdomo wa Mamba Wanalindwa

Tumemsikia Mwanasheria wa Yanga akizungumza Pumba tupu (sijui alisoma shule gani), Zaidi ya vitisho kwa wenye timu, hakuna lolote alilosema lililoeleweka, Tunaomba ulinzi kwa wazee hawa mashujaa ili wasidhuriwe na Makomandoi wa Yanga .

Ni aibu sana kwa Timu kama yanga kukosa hata Akaunti ya Benki na kutumia Akaunti ya GSM, kuna haja ya Mabadiliko.

Pia soma:
1. Hii hapa Hukumu ya kutotambulika kwa Baraza la Wadhamini la klabu ya Yanga. Yumo Mwigulu, Mwambe na Tarimba

2. Mahakama yaamuru Eng. Hersi aachie ngazi Yanga!
 
Natoa wito kwa jeshi la Polisi kuhakikisha kwamba, Wazee hawa wapenda haki walioshinda kesi ya kuikomboa Timu yao ya Yanga kwenye mdomo wa Mamba Wanalindwa...
Endelea kuota.
 
Inawezekana una hoja, ila umeileta kishabiki.

Siwezi kukataa kuhusu baadhi ya madhaifu ya klabu! Ila haileti mantiki kwa hao wazee kushinda kesi kirahisi tu huku wahusika wakuu wanayo iongoza klabu kwa sasa, wakiwa hawajashirikishwa kwenye mchakato wa hiyo kesi!

Na pia hao wazee kughushi saini za wazee wa bodi ya wadhamini wa klabu, sidhani kama ni sahihi.
 
Ukitaka ujue udhaifu ulipo tuanzie TFF kwanza kwanini waruhusu hilo litokee
 
Unafanya vyema kwenye siasa
Sasa huku kwenye michezo unajivunjia heshima.
 
Mwanasheria wa Yanga ametoa hoja zinazoeleweka kwa kila mtu mwenye akili timamu.
Unahitaji kuwa MPUMBAVU wa level ya juu kabisa kupata ujasiri wa kuita hoja za mwanasheria wa Yanga kuwa ni pumba(kama unavyodai)
 
Inawezekana una hoja, ila umeileta kishabiki.

Siwezi kukataa kuhusu baadhi ya madhaifu ya klabu! Ila haileti mantiki kwa hao wazee kushinda kesi kirahisi tu huku wahusika wakuu wanayo iongoza klabu kwa sasa, wakiwa hawajashirikishwa kwenye mchakato wa hiyo kesi!

Na pia hao wazee kughushi saini za wazee wa bodi ya wadhamini wa klabu, sidhani kama ni sahihi.
Umetoa wapi Uhakika kama Wameghushi?
 
Msinipangie majukwaa
Hatukupangii majukwaa mdogo wangu ni ushauri tu tunakupa. Jiepushe kuleta uzi au ma comment ya kindezi. Ushauri tu

Next time ukileta uzi wa maana kuhusu chadema yako watu watakuchukulia light.

Stay focused mdogo wangu, hizi mambo za simba na Yanga zinakulinganisha na wa kijiweni. Ni kitu wenzako ccm na serekali wanaleta kusudi kuwahamisha mind

Sasa wewe ndo umeongea nini hapo kwenye uzi wako? Usimba wako utakupotezea credits kutoka kwenye tabaka la wana Yanga dogo. Wewe unapambana sana kuijenga Chadema jaribu mara zote kutokuwa biased na mihemko, unawagawa hao unaotaka kuwa win!
 
GSDteZ0XgAET1aV.jpeg
 
Tunataka kufumua haya mambo ya Simba na Yanga iki kuamsha Watanzania, Umemsikia Manara? Hatuwezi kunyamazia ujinga ili tupate kura, Never!
 
Mm ni Yanga damu tena toka nazaliwa, lakini nahisi washabiki wengi wa yanga wana tatizo somewhere. Inawezekana magoma kazingua, lakini hii hofu tuliyoitengeneza ya kuamini bila hersi or gsm hatuwezi kitu, ni Jambo baya sana
 
Sasa walindwe inakuwaje unaenda kuwachokoza nyuki kwenye mzinga hali wametulia halafu uende kuita askari wa porini waje kukusaidia!!? Au unaenda kambi ya geshi unawaitaita tu bila sababu halafu wakitoka unaomba wananchi msaada...
 
Back
Top Bottom