Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Natoa wito kwa jeshi la Polisi kuhakikisha kwamba, Wazee hawa wapenda haki walioshinda kesi ya kuikomboa Timu yao ya Yanga kwenye mdomo wa Mamba Wanalindwa
Tumemsikia Mwanasheria wa Yanga akizungumza Pumba tupu (sijui alisoma shule gani), Zaidi ya vitisho kwa wenye timu, hakuna lolote alilosema lililoeleweka, Tunaomba ulinzi kwa wazee hawa mashujaa ili wasidhuriwe na Makomandoi wa Yanga .
Ni aibu sana kwa Timu kama yanga kukosa hata Akaunti ya Benki na kutumia Akaunti ya GSM, kuna haja ya Mabadiliko.
Pia soma:
1. Hii hapa Hukumu ya kutotambulika kwa Baraza la Wadhamini la klabu ya Yanga. Yumo Mwigulu, Mwambe na Tarimba
2. Mahakama yaamuru Eng. Hersi aachie ngazi Yanga!