Magonjwa 10 adimu na ya Ajabu zaidi duniani.

Bubonic plague siwezi kuuhusisha hapa kwa sababu ule ni contaguous(wenye kuambukiza) pia sio rare(adimu) sana hapa duniani ukilinganisha na hayo niliyoyataja... Ila usijali nikipata time nitaelezea ingawa huu ugojnwa upo kwenye kundi la Highly contagious diseases...
e
 
mbona hamna waafrica wa ivyo
Wapo kaka ila sema tuu huku hatureport case kama hizo pia hatuzipi kipaumbele kwa sababu tunajua kabisa hazitibiki, wengi wenye magonjwa hayo utawakuta vijijini...
 
Huku Afrika tunasema magonjwa ya kurogwa dawa zake ni kwa waganga wa kienyeji na kwa manabii wa makanisa
Ndo hivyo imani zetu tuu ila kisayansi hasa sisi wa Medicine tunaona kivingine kabisa yaani
 
Hakuna mtu ambaye Hana ugonjwa binadamu wote tuna magonjwa hili nililisoma shule ya msingi miaka ya 90+
Nalog off
Nakataa hapo... Kwa law za Medicine ni kwamba kila Binadamu ni Susceptible to infection and diseases for >90% but hii haimaanishi kwamba wao ni infected until proven by investigation au signs&symptoms
 
Duh
Tay-Sachs syndrome ...ni balaa..
Hiyo kitu ni balaa kaka, nakumbuka kwamba kwenye vinasaba vya mtu hasa mtoto Hexa gene zake katika chromosome namba 15 zikiwa mutated tuu baasi huyo neva seli za Ubongo na Uti wa mgongo zinaharibika na wengi hifa watoto..
 
Anhaa...
Tinitus, huo ugonjwa wa sikio tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…