Magonjwa 10 adimu na ya Ajabu zaidi duniani.

Magonjwa 10 adimu na ya Ajabu zaidi duniani.

Bubonic plague siwezi kuuhusisha hapa kwa sababu ule ni contaguous(wenye kuambukiza) pia sio rare(adimu) sana hapa duniani ukilinganisha na hayo niliyoyataja... Ila usijali nikipata time nitaelezea ingawa huu ugojnwa upo kwenye kundi la Highly contagious diseases...
Ni kwel na natambua hilo but binafsi nimeuskia nakupitia kdogo mitandaon kuhusu bubonic plague ! but bad sijaujua vzur huu ugonjw coz nasikia n mbaya san kupita maelez kam utapat muda em uelezee kidogo na source yak na nkivip waliuzuia!? na why uliua watu weng san kipind umeerupt!?
e
 
Hakuna mtu ambaye Hana ugonjwa binadamu wote tuna magonjwa hili nililisoma shule ya msingi miaka ya 90+
Nalog off
Nakataa hapo... Kwa law za Medicine ni kwamba kila Binadamu ni Susceptible to infection and diseases for >90% but hii haimaanishi kwamba wao ni infected until proven by investigation au signs&symptoms
 
Duh
Tay-Sachs syndrome ...ni balaa..
Hiyo kitu ni balaa kaka, nakumbuka kwamba kwenye vinasaba vya mtu hasa mtoto Hexa gene zake katika chromosome namba 15 zikiwa mutated tuu baasi huyo neva seli za Ubongo na Uti wa mgongo zinaharibika na wengi hifa watoto..
 
Anhaa...
Nimeipenda namba 6 yaani wanajiona hawafi ingawa sura ya kufa kufa unaiona kabisa

Duniani kuna mambo kwa kweli
Hiyo nyingine ya kusikia sauti mimi ninayo ila sio subwoofer bali kama boeing vile inakuja kwa mbali
Lakini sio huo ugonjwa bali ni tinnitus
Tinitus, huo ugonjwa wa sikio tuu
 
Back
Top Bottom