Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,743
- 25,564
Haujatuambia hayo magonjwa yanasababishwa na nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama yapi??Haujatuambia hayo magonjwa yanasababishwa na nini?
eNi kwel na natambua hilo but binafsi nimeuskia nakupitia kdogo mitandaon kuhusu bubonic plague ! but bad sijaujua vzur huu ugonjw coz nasikia n mbaya san kupita maelez kam utapat muda em uelezee kidogo na source yak na nkivip waliuzuia!? na why uliua watu weng san kipind umeerupt!?
Ebola haipo...
Wapo kaka ila sema tuu huku hatureport case kama hizo pia hatuzipi kipaumbele kwa sababu tunajua kabisa hazitibiki, wengi wenye magonjwa hayo utawakuta vijijini...mbona hamna waafrica wa ivyo
Hao wawili juu wanaonesha tabasam tu
Ndo hivyo imani zetu tuu ila kisayansi hasa sisi wa Medicine tunaona kivingine kabisa yaaniHuku Afrika tunasema magonjwa ya kurogwa dawa zake ni kwa waganga wa kienyeji na kwa manabii wa makanisa
Nakataa hapo... Kwa law za Medicine ni kwamba kila Binadamu ni Susceptible to infection and diseases for >90% but hii haimaanishi kwamba wao ni infected until proven by investigation au signs&symptomsHakuna mtu ambaye Hana ugonjwa binadamu wote tuna magonjwa hili nililisoma shule ya msingi miaka ya 90+
Nalog off
Hiyo kitu ni balaa kaka, nakumbuka kwamba kwenye vinasaba vya mtu hasa mtoto Hexa gene zake katika chromosome namba 15 zikiwa mutated tuu baasi huyo neva seli za Ubongo na Uti wa mgongo zinaharibika na wengi hifa watoto..Tay-Sachs syndrome ...ni balaa..
toto tuu ile kwa sababu kwa speed ya kuua ni taratibu kwanza hata kwenye top ten ya magonjwa yanayoua haraka haipoDuh kumbe ngoma cha mtoto!!!
Tinitus, huo ugonjwa wa sikio tuuNimeipenda namba 6 yaani wanajiona hawafi ingawa sura ya kufa kufa unaiona kabisa
Duniani kuna mambo kwa kweli
Hiyo nyingine ya kusikia sauti mimi ninayo ila sio subwoofer bali kama boeing vile inakuja kwa mbali
Lakini sio huo ugonjwa bali ni tinnitus
Tinnitus ni ugonjwa aisee tena unakera sanaAnhaa...
Tinitus, huo ugonjwa wa sikio tuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Anko magu ana ugonjwa unaitwa .... " ninyenyekee syndrome ... Ugonjwa mbaya sana huu dawa yake ni ... Vita tu
AiseeeeeeeeKama yapi??
Baadhi ni Genetic diseases, mengine ni idiopathic(sababu yake haijulikani).
ukisikia idiopathic manake unknown aetiology but secretely ni man made diseases...Kama yapi??
Baadhi ni Genetic diseases, mengine ni idiopathic(sababu yake haijulikani).
Ni genetical disease Mtu anazaliwa na vinasaba vinavyo pelekea magonjwa haya na hayabukizi ila unaweza kurithi kama kwenye ukoo au familia yenu kuna vinasaba vya ugonjwa mmojawapoHaujatuambia hayo magonjwa yanasababishwa na nini?
Asante kwa maelezoNi genetical disease Mtu anazaliwa na vinasaba vinavyo pelekea magonjwa haya na hayabukizi ila unaweza kurithi kama kwenye ukoo au familia yenu kuna vinasaba vya ugonjwa mmojawapo