Amina omba yasikukute mkuu; maana nakumbuka nilivua nguo barabarani; acha nianze kutembea katikati ya barabara; sijui jamaa gani wakanikmata wakanivisha suruale chafuchafu; nikaendelea kutembea barabarani naingia kwenye mitaro michafu baadae ndo ndugu zangu wananikamata nakunipeleka hospital
Ni kweli mamy. Hatuna budi kupambana nazoAsante,..ni changamoto za Maisha ndugu yangu
Yeuwii, kwahyo hizo moments unazikumbuka kbs mkuu,vitu ulivokua unafanya??,aiseeAmina omba yasikukute mkuu; maana nakumbuka nilivua nguo barabarani; acha nianze kutembea katikati ya barabara; sijui jamaa gani wakanikmata wakanivisha suruale chafuchafu; nikaendelea kutembea barabarani naingia kwenye mitaro michafu baadae ndo ndugu zangu wananikamata nakunipeleka hospital
Nilivyokuwa naanza kuumwa nilikuwa najua na naelewa kila kitu; sema nilikuwa mwisho naona nipo sahihi kwenye yote ninayofanya ndo nikaja gundua kichaa hajitambui usimsikilize mtu aliyechanganyikiwa bali mpelekeni hospital akapige dawa; ila cha kushangaza nilivyofika muhimbili nilizidiwa zaidi maana nilipoteza fahamu kabisa kwa mda wa wiki mbili na zaidi; watu wanakuja naongea nao; nawatukana; ila zote ni story maana sikuwa na ufahamu kabisa mpaka niliporydiwa na ufahamu nikawa unakumbka matukio kabla sijafikia muhimbili na baada ya fahamu kunirudiaYeuwii, kwahyo hizo moments unazikumbuka kbs mkuu,vitu ulivokua unafanya??,aisee
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu, nashukuru kwa hii post, kwakua umelenga mchakato wangu wakuandaa project proposal ya kusaidia watu wenye matatizo ya akili waliotelekezwa na ndugu zao mitaani,
hii ni kwasababu wengi wamekua wakitendewa vitendo vya kubakwa au kulawitiwa pasipo msaada wa kisheria hata kama itajulikana.
mvua jua lao maradhi kama malaria, homa ya mapafu, magonjwa ya zinaa, ukimwi n.k vimekua ni vitu vya kawaida na mateso kwao pasipo mtu wa kutambua hisia zao. pia kwa upande wa wanawake kupata mimba zisizotarajiwa na kuharibika kutokana na mazingira.
watu hawa wameondolewa utu wao kabisa labda akifa ndio husitiriwa, lakini uhai wao hauna dhamani kabisa, ni jambo lakushangaza saana kwetu sisi wanadamu.
jambo tusilolijua ni kwambwa pengine nasi twaweza kua wagonjwa wa akili kesho kutokana na changamoto za maisha. Tuwasaidie wenzetu jamani.
nakupongeza mleta mada kwakunitia moyo kwamba tunaweza wasaidia na wakapone wenzetu wenye hili tatizo. Mungu akubariki saana na atamsaidia mama yetu atayasahau yaliyo pita.
Namba nne muhimu sana;;hujawahi pelekwa kwa mganga??Mie ningependa kukusaidia mkuu kwenye proposal yako..lol...
suggestion;
1.Police wawe trained kugundua mtu anayeumwa na kumtoa alipo na kumpeleka hospital/safe place.
2.Hospitali za watu wa magonjwa ya akili ziongezwe Tanzania, nakumbuka zamani ilikuwa ni Mirembe na Muhimbili hospitali ndio hospitali za rufaa,kama zimeongezwa ni chache,kama watu wane mmoja ana kichaa,this means watu million moja katika million nne za watu wanaoishi Dar wana magonjwa ya akili,je hospitali za wagonjwa hawa ni ngapi Dar tu peke yake??..hili lifanyiwe kazi…
3.Anzisha Charity(nilikua na hili wazo likanishinda kiutendaji)..yenye help line,uitangaze kwa bidi..watu wakiona mtu yuko hatarini kwa sababu ya matatizo ya akili,then wanapiga hio number..na kupelekwa safe place(hili tegemea na wasanii pia,watatumia huu mwanya,LOL)
4.Iandikie serikali kuikumbusha ina wajibu kama yalivyo magonjwa mengine kama kisukari kupiga kampeni(awareness) ya matatizo ya akili, watu waje forward kupata msaada wasiende kwa waganga na wengineo…
1.
Namba nne muhimu sana;;hujawahi pelekwa kwa mganga??
Vitu vingine ni kuwa huru na nisehemu ya kujifunzano,..lol..unadhania ningesema mkuu?? hahahahahah..
Vitu vingine ni kuwa huru na nisehemu ya kujifunza
Asante kwa kuanziasha mada hii, naamini tutaweza kushare experience na baadhi hata kupata suluhisho la matatizo hayaHabari Wadau,
Wazo tu lilinijia majuzi kuanzisha hii thread. Unajua Waafrika hatuongelei hii issue sana kuhusu Afya ya Akili yaani Mental health issues. Na ikitokea kwenye familia basi tunashikana mashati kuwa ndugu yetu kalogwa, laana, katolewa kafara na suluhisho mara nyingi huwa ni kwenda kwa mganga au kuzunguka makanisa yoooote aombewe.
Chakusikitisha ni kwamba magonjwa ya akili yapo mengi from depression, bi-polar, schizophrenia etc na suluhisho izo mbili nilizotaja hazisaidii!! Suluhisho ni kumuona daktari, apate ufumbuzi na kuanza kunywa dawa pamoja na kuahudhuria therapy, inategemea na diagnosis ya daktari.
Nina mzazi ambaye ni mgonjwa kiakili na hakuna maombezi yoyote yaliyosaidia na yuko na maradhi haya miaka mingi sana. Ilituchukua miaka 10 kuelewa kuwa ni ugonjwa na tunashukuru Mungu kuwa akizingatia dawa anakuwa salama anafanya shughuli zake kama kawaida ila asipozingatia dawa inakuwa hatari sana tunakuwa na hofu juu yake na sisi tunaomzunguka.
Tulivoanza therapy, nikagundua kuwa kuna wagonjwa wengi kama yeye, in a selfish way, nilifarijika kusikia kuwa si mzazi wangu tu mwenye tatizo kama lake, maana magonjwa haya tumezoea kuyasikia kwenye tv kama vile ni ya wazungu tu. Mara nyingi, huwa najisikia vibaya sana anapoumwa, natamani angekuwa tu kama wazazi wengine, aliacha biashara zake kwasababu hakuweza kuitumikia 100%, hatakiwi kuwa na stress aina yoyote, anaweza kusema maneno makali sana asikumbuke, akikumbuka alichofanya analia kwa uchungu sana. Huwa anaomba msamaha kwa vitu alivyofanya au sema hata miaka 10 iliyopita, huwa najisikia vibaya sana japokuwa sisi tumezoea.
Nina uhakika kuna wengine mlioko kwenye situation kama hii, naomba tu share experiences zetu, breathe, exhale, najua ni ngumu sana. Naomba mchukue fursa hii kuongelea juu ya magonjwa ya kiakili, ni tatizo gumu sana kulitamka katika jamii yetu na mara nyingi tunayaficha.
Labda hapa ni sehemu nzuri kuongelea bila kuwa judged sababu ni maradhi yanatokea tu kutegemea na maisha ya mtu aliyokulia,lelewa, pamoja na mlundikano wa mawazo na kadhalika.
You are not alone!
pole mkuu, naelewa ni changamoto kiasi gani kuwa na mzazi au ndugu mwenye tatizo hili.Asante kwa kuanziasha mada hii, naamini tutaweza kushare experience na baadhi hata kupata suluhisho la matatizo haya
Binafsi nina mzazi mwenye shida hiyo, ni mama yangu mzazi, according to the history, baba alitueleza kwamba mama alipata hilo tatizo dakika chache baada ya kujifungua mdogo wetu wa mwisho, hapo ilikua nni mwaka 1989, since then baba hakuweza kufanya chochote zaidi ya kutule maana sisi tulizaliwa watatu na tulipishanainterval ya miaka miwili,
Wakati mama anapata tatizo sisis yulikua bado watoto kwa hiyo baba alibeba jukumu la kutulea bila msaada wa ndugu,
Bahati nzuri Mungu alitujaalia wote mimi pamoja na wadogo zangu kufanya vizuri kwenye masomo mpaka tumefika mahali tunajitegemea
Shida ya mama kubwa ni kuongea mwenyewe ni kama vile anakua anaongea au anabishana na mtu tusiemuona, wakati mwingine anaogopa hatuelewi anaogopa nini au analia tu bila sababu, hapendi kukaa karibu na watu na anamuoa kila mtu kama afui isipokua sisi familia yake
Mbaya zaifi huwa anaondoka nyumbani tunamtafuta mpaka tunachoka na akionfoka wakati mwinhine inachukua hata miezi mpaka arudi
Kiukweli kuna wakati huwa tunaishi kwa tension sana kwa kumchunga na kujitahidi kuwa karibu nae
Nilipopata kazi nikampeleka mama kea daktari bingwa wa magonjwa ya akili na akaanza dawa, mpaka sasa anaendelea vizuri na anafanya shughuli zake kama mtu mwenye akili timamu
Sent using Jamii Forums mobile app
Usiumbe tatizo kwenye akili yako? Eti Hujui wa kwako atakuwa na tatizo gani; we pambana acha maisha yawe jinsi Mungu amepanga kikubwa n kutambua kama binadamu kila mtu ana changamoto zakepole mkuu, naelewa ni changamoto kiasi gani kuwa na mzazi au ndugu mwenye tatizo hili.
nina baba mdogo ambaye aliugua malaria kipindi yuko njiani kuelekea shule miaka ya 90's na ikapelekea kutokuwa vizuri kiafya (ya akili) hadi leo, ingawa anatumia dawa. na kwa vile anaishi mwenyewe kuna wakati anapuuza kunywa dawa, mambo yanaharibika, mara apotee hata wiki, halafu simu inapigwa kutoka polisi au hospitali kwamba kuna mtu wenu huku (hapo kuna fujo amefanya mahali), ni changamoto kwa kweli.
kinachoumiza zaidi, ana ndugu zake lakini wanaojua anapokaa, na hata chakula au dawa kama anazo na anakunywa, ni wawili tu. wengine hawana muda huo.
kingine, sijui hili tatizo ni hereditary ama vipi.
nasikia kuna ndugu zamani walimtesa na kuua mtu, familia yao hakosekani mwenye tatizo la akili.
nina mdogo wangu (tumbo moja) alikuwa na dalili (kama kuongea mwenyewe, kushtuka usingizini usiku na kupiga kelele) kipindi yuko kidato cha pili. liliisha lenyewe wakati wazazi wanaangalia namna ya kushughulikia suala hilo na yuko sawa hadi leo.
mzazi mmoja ana 'borderline personally disorder' na niko autistic. asa sijui kama watoto wa kwangu watakuwa na shida gani...
Zielezee mkuu; au tuma pdf yake mkuuThe line between sanity and insanity is precariously thin, most of us cross this line on regular basis. Unfortunately, mental health in developing world (bongoland included), is not taken seriously. More often than not, witchcraft is blamed for the mental illnesses people suffer.
Just as mentioned by Curvyminx , Depression, Bi-polar, Schizophrenia etc etc .
To add more:- Post Traumatic Stress Disorder (PTSD), Anxiety disorder, Psychosis, Obsessive compulsive disorder (OCD), Attention Deficit Hyperactivity Disorder (ADHD), Eating Disorders, Personality Disorders, Mood Disorder, Stress Reaction, Dissociative Identity Disorder, Behavior Disorders, Alcoholism, Substance Use Disorder, Autism, Intellectual Disability, Schizoaffective Disorder, Conduct Disorder, Sleep disorders, Fatigue, Paranoia, Confusion, Autism, Delusional Disorder, Somatization, Kleptomania, Body Dysmorphic Disorder, Pervasive Developmental Disorder etc etc.
Jambo jema mkuu; usijejiunganisha na roho za ajabuhapana,niko sehemu nilipoumwa nilipelekwa hospitali mkuu,
The line between sanity and insanity is precariously thin, most of us cross this line on regular basis. Unfortunately, mental health in developing world (bongoland included), is not taken seriously. More often than not, witchcraft is blamed for the mental illnesses people suffer.
Just as mentioned by Curvyminx , Depression, Bi-polar, Schizophrenia etc etc .
To add more:- Post Traumatic Stress Disorder (PTSD), Anxiety disorder, Psychosis, Obsessive compulsive disorder (OCD), Attention Deficit Hyperactivity Disorder (ADHD), Eating Disorders, Personality Disorders, Mood Disorder, Stress Reaction, Dissociative Identity Disorder, Behavior Disorders, Alcoholism, Substance Use Disorder, Autism, Intellectual Disability, Schizoaffective Disorder, Conduct Disorder, Sleep disorders, Fatigue, Paranoia, Confusion, Autism, Delusional Disorder, Somatization, Kleptomania, Body Dysmorphic Disorder, Pervasive Developmental Disorder etc etc.
nimeipitia uzi wote!
changamoto kubwa zinazowapata wagonjwa wa akili na familia zao ni sera zetu za afya kutotilia vipaumbele kwenye magonjwa ya akili.
Mkuu kama una uelewa na mambo uliyotaja tudadavulie kwa ufupi dalili, prevention na treatmentThe line between sanity and insanity is precariously thin, most of us cross this line on regular basis. Unfortunately, mental health in developing world (bongoland included), is not taken seriously. More often than not, witchcraft is blamed for the mental illnesses people suffer.
Just as mentioned by Curvyminx , Depression, Bi-polar, Schizophrenia etc etc .
To add more:- Post Traumatic Stress Disorder (PTSD), Anxiety disorder, Psychosis, Obsessive compulsive disorder (OCD), Attention Deficit Hyperactivity Disorder (ADHD), Eating Disorders, Personality Disorders, Mood Disorder, Stress Reaction, Dissociative Identity Disorder, Behavior Disorders, Alcoholism, Substance Use Disorder, Autism, Intellectual Disability, Schizoaffective Disorder, Conduct Disorder, Sleep disorders, Fatigue, Paranoia, Confusion, Autism, Delusional Disorder, Somatization, Kleptomania, Body Dysmorphic Disorder, Pervasive Developmental Disorder etc etc.