Mwamba1961
JF-Expert Member
- Dec 10, 2016
- 626
- 409
Inasababishwa na nini?Shukrani mkuu. ila correction kidogo, coccidiosis haisababishwi na virus
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inasababishwa na nini?Shukrani mkuu. ila correction kidogo, coccidiosis haisababishwi na virus
aloeveraVipi kwa mafua ya kuku,dawa yake ni ipi?
Hii fluban ni dozi ndogo sana mara Nyingi inatumika kama preventive(kinga)na sio curative(kutibu)Fluban![]()
Uliwapa antibiotic yoyote siku tano za mwanzoni!?Je, vifaranga kufa, ila wakubwa hawana tatizo, ni ugonjwa gani? Nina fuga kuku wa kienyeji na hawatoki nje, mmoja ametotoa vifaranga 10!!tena venye afya nzuri ila baada kama ya wiki, kila siku unakuta 1,2 vimekufa hadi vimekwisha vyote!! Na ukivichunguza huoni ishara yoyote ile labda kuumia, kuvimba sehemu!! Lakini wakubwa hawana tatizo?
Msaada
Hapana mkuuuUliwapa antibiotic yoyote siku tano za mwanzoni!?
Kwanza kabisa Ni kosa kuchanganya vifaranga na kuku wakubwa kwani vifaranga hua na body resistance ndogo kwa magonjwa tofauti na kuku wakubwa ambao huwa na magonjwa bila kuonyesha dalili ya gonjwa.ushauri kuku wako anapo anguwa tenga vifaranga na mama yao au bila mama Kama una heat source na Kama una uwakika wa heat source week ya kwanza hakikisha joto linakuwa 33c, week ya pili shusha liwe30c Hadi week ya sita liwe24c ,wape chanjo siku ya kwanza anza na mareks (SI lazima) ila kwanzia siku ya tatu wape New Castle vaccin (chanjo ya kideri),siku ya kumi 14 wape gumboro vaccine ,siku ya 21 wape Newcastle tena,siku ya28 wape fowl pox vaccine, alafu rudia kila miezi 3 new Castle vaccine.Je, vifaranga kufa, ila wakubwa hawana tatizo, ni ugonjwa gani? Nina fuga kuku wa kienyeji na hawatoki nje, mmoja ametotoa vifaranga 10!!tena venye afya nzuri ila baada kama ya wiki, kila siku unakuta 1,2 vimekufa hadi vimekwisha vyote!! Na ukivichunguza huoni ishara yoyote ile labda kuumia, kuvimba sehemu!! Lakini wakubwa hawana tatizo?
Msaada
bei za jumla auHizo chanjo zinagharimu kiasi gan
Hui nilipiga ila ndui ilipita nao, japo haikuwa kali sana.Kwa sasa kuna dawa inaitwa tatu moja ni nzuri saana inakinga mdondo pamoja na ndui ukiwapiga kuku wako sahau kuku kufa
Hapa kuna mawili makosa ulifanyaHui nilipiga ila ndui ilipita nao, japo haikuwa kali sana.