Battor
JF-Expert Member
- Mar 21, 2019
- 1,964
- 3,496
Niliwachanja siku ya saba baada ya kuanguliwa. New castle na gumboro walipita salama lakini baada ya miezi miwili wakaipata hiyo ndui japo haikuwa kali maana iliwacheleweashea spidi ya ukuaji kakini hakukuwa na vifo. Nafikiri kwenye suala la muda ndo labda halikuwa sawa maana kipindi hicho ni kike kipindi cha mgao wa umeme sana nafikiri ile chanjo inawezekana kuna wakati ilikosa ubora wake kwa kutohifadhiwa kwenye joto stahiki.Hapa kuna mawili makosa ulifanya
1.haukuzingatia ratiba au muda mzuri wa kuchanja maana huwa ni kila baada ya miezi mitatu
2. Uliwachanja tayari washaathirika