Magonjwa ya kuku na tiba zake

Je, vifaranga kufa, ila wakubwa hawana tatizo, ni ugonjwa gani? Nina fuga kuku wa kienyeji na hawatoki nje, mmoja ametotoa vifaranga 10!!tena venye afya nzuri ila baada kama ya wiki, kila siku unakuta 1,2 vimekufa hadi vimekwisha vyote!! Na ukivichunguza huoni ishara yoyote ile labda kuumia, kuvimba sehemu!! Lakini wakubwa hawana tatizo?

Msaada
 
Habari wadau! Nahitaji kujua chanjo za kuzuia magonjwa kwa kuku + pamoja na ratiba zake
 
Uliwapa antibiotic yoyote siku tano za mwanzoni!?
 
Kwanza kabisa Ni kosa kuchanganya vifaranga na kuku wakubwa kwani vifaranga hua na body resistance ndogo kwa magonjwa tofauti na kuku wakubwa ambao huwa na magonjwa bila kuonyesha dalili ya gonjwa.ushauri kuku wako anapo anguwa tenga vifaranga na mama yao au bila mama Kama una heat source na Kama una uwakika wa heat source week ya kwanza hakikisha joto linakuwa 33c, week ya pili shusha liwe30c Hadi week ya sita liwe24c ,wape chanjo siku ya kwanza anza na mareks (SI lazima) ila kwanzia siku ya tatu wape New Castle vaccin (chanjo ya kideri),siku ya kumi 14 wape gumboro vaccine ,siku ya 21 wape Newcastle tena,siku ya28 wape fowl pox vaccine, alafu rudia kila miezi 3 new Castle vaccine.

CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA
 
Naomba msaada wenu mm nimfugaji wa kuku nimejaribu kuoigana na ugojwa wakufura macho na vidonda kwa midmorning yao kwa ndani ,mapafu.
 
Kwa sasa kuna dawa inaitwa tatu moja ni nzuri saana inakinga mdondo pamoja na ndui ukiwapiga kuku wako sahau kuku kufa
 
Kwa sasa kuna dawa inaitwa tatu moja ni nzuri saana inakinga mdondo pamoja na ndui ukiwapiga kuku wako sahau kuku kufa
Hui nilipiga ila ndui ilipita nao, japo haikuwa kali sana.
 
Hui nilipiga ila ndui ilipita nao, japo haikuwa kali sana.
Hapa kuna mawili makosa ulifanya
1.haukuzingatia ratiba au muda mzuri wa kuchanja maana huwa ni kila baada ya miezi mitatu

2. Uliwachanja tayari washaathirika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…