Niliwachanja siku ya saba baada ya kuanguliwa. New castle na gumboro walipita salama lakini baada ya miezi miwili wakaipata hiyo ndui japo haikuwa kali maana iliwacheleweashea spidi ya ukuaji kakini hakukuwa na vifo. Nafikiri kwenye suala la muda ndo labda halikuwa sawa maana kipindi hicho ni kike kipindi cha mgao wa umeme sana nafikiri ile chanjo inawezekana kuna wakati ilikosa ubora wake kwa kutohifadhiwa kwenye joto stahiki.Hapa kuna mawili makosa ulifanya
1.haukuzingatia ratiba au muda mzuri wa kuchanja maana huwa ni kila baada ya miezi mitatu
2. Uliwachanja tayari washaathirika
Yeaaah na hapo napo wauza madawa wanatupiga changa la macho maana ile dawa mwish n 8°C ikizidi hapo ubora wake unaishaNiliwachanja siku ya saba baada ya kuanguliwa. New castle na gumboro walipita salama lakini baada ya miezi miwili wakaipata hiyo ndui japo haikuwa kali maana iliwacheleweashea spidi ya ukuaji kakini hakukuwa na vifo. Nafikiri kwenye suala la muda ndo labda halikuwa sawa maana kipindi hicho ni kike kipindi cha mgao wa umeme sana nafikiri ile chanjo inawezekana kuna wakati ilikosa ubora wake kwa kutohifadhiwa kwenye joto stahiki.
Kabisaa maana unaweza kuta umewapiga chanjo zote na ugonjwa ukawapitia kumbe chanzo ni utunzaji mbaya wa madawa.Yeaaah na hapo napo wauza madawa wanatupiga changa la macho maana ile dawa mwish n 8°C ikizidi hapo ubora wake unaisha
Tengeneza viota vingi.Me kuku wananitesa wanataga sehemu moja na wanakula mayai, yani unakuta kuku wawili wanakaa sehem moja ukitenganisha wanarudi . Shida nini?