Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Refa kafanyaje?Mchawi ni refa tu. Camara hana baya
Kwani hapakuwa na penati mbili za wazi hadi uzungumze uharo wako huo?Magol kawawahi mashabiki wa Simba ambao ni mbumbumbu wasijue tatizo liko wapi
Maana kama Asingeandika hivyo mda huu mashabiki wa simba mtandaon ingekuwa ni mangungu out
Like now wako kimiya hata hawajui waseme nini
Duh refa ndio hana shot on target hata moja?Mchawi ni refa tu. Camara hana baya
Statistics za mchezo uliziona? Yanga alikuwa na on Target ngapi na yanga ngapi? Au kwa vile wenye akili ni wawili tuDuh refa ndio hana shot on target hata moja?
Yanga walikuwa na on target zaidi ya tano Simba hawana ata moja.Statistics za mchezo uliziona? Yanga alikuwa na on Target ngapi na yanga ngapi? Au kwa vile wenye akili ni wawili tu
Unaongea kwa hisia tafuta takwimu acha kuongea tu kwa hisiaYanga walikuwa na on target zaidi ya tano Simba hawana ata moja.
Yanga walikuwa na on target zaidi ya tano Simba hawana ata moja.
Maaskini MAKOLOMagol kawawahi mashabiki wa Simba ambao ni mbumbumbu wasijue tatizo liko wapi
Maana kama Asingeandika hivyo mda huu mashabiki wa simba mtandaon ingekuwa ni mangungu out
Like now wako kimiya hata hawajui waseme nini
Ongezea Awesu milioni 50Wewe magori ndio ulikuwa na fungu la usajili na mmesema wachezaji wameighairm team billion 7. Sasa utuambie mchezaji gani wa billion pale Simba.
Kagoma tushaona mlimnununua kwa million 30.
Unataka kujifichia matokeo utueleze kabla akijanuka
Hizo mil 80. Ngoja atatapika bungo siku si nyingiOngezea Awesu milioni 50
Yanga alicheza dhidi ya Yanga . Kumbe Simba hakucheza,ndio maana matokeo yakawa vileStatistics za mchezo uliziona? Yanga alikuwa na on Target ngapi na yanga ngapi? Au kwa vile wenye akili ni wawili tu