Magori kabla ya kutafuta mbuzi wa kafara tuoneshe wachezaji wa billion 7

Magori kabla ya kutafuta mbuzi wa kafara tuoneshe wachezaji wa billion 7

Kwani hapakuwa na penati mbili za wazi hadi uzungumze uharo wako huo?

Kipi ambacho ameongea uongo kama ngao ya kujikingia? Faulo iliyozalisha goli ni ya mchongo hadi goli lenyewe.
susieni ligi na mkafanye kazi nyingine.
 
Back
Top Bottom