Magori: Maingizo mapya ni balaa,ahofia kupokonywa Banda

Magori ni chawa tu wa Mudi, hajawahi kua na uwezo Wala ushawishi katika mpira wa nchi hii.
Kwa Simba Lage alikua mtu smart na haitaji ujanja ujanja kufanikisha Mambo,awa wakina Magori, Hanspop, Try again nguvu yao ipo kwa Tff ukiwaondolea Tff hii, ni wepesi Kama karatasi.
 
Nakubaliana na wewe hawa watu hawana uwezo kabisa. Wameishusha Simba kutoka nafasi ya 4 kwenye ligi mpaka ubingwa mara 4 mfululizo. Hawana watu wanaiharibu sana Simba. Simba sio timu ya kuwa 14 ranking za CAF ilitakiwa kuwa juu zaidi timu ya 56 huko.

Wafukuzwe Simba hawa kina Magori
 
Mmmh
JamiiForums-739198275.jpg
 
Propaganda za kitoto kabisa,yani Utopolo anunue jezi aichane halafu Mr Over my Deadbody aje na hizo propaganda za kuwaomba wasichane.Hivi Utopolo ni lini mtakuwa na akili kichwani? Mbona kwa sasa hata akili kidogo mlizokuwa mmebakiza zote mmemkabidhi “Mr Over my Deadbody”
 
Nakubaliana na wewe hawa watu hawana uwezo kabisa. Wameishusha Simba kutoka nafasi ya 4 kwenye ligi mpaka ubingwa mara 4 mfululizo. Hawana watu wanaiharibu sana Simba. Simba sio timu ya kuwa 14 ranking za CAF ilitakiwa kuwa juu zaidi timu ya 56 huko.

Wafukuzwe Simba hawa kina Magori
Kwani si walikuwepo before walifanya nini bila mwamed hawana chichote.
 
Magori ni chawa tu wa Mudi, hajawahi kua na uwezo Wala ushawishi katika mpira wa nchi hii.
Kwa Simba Lage alikua mtu smart na haitaji ujanja ujanja kufanikisha Mambo,awa wakina Magori, Hanspop, Try again nguvu yao ipo kwa Tff ukiwaondolea Tff hii, ni wepesi Kama karatasi.
"Rage alikua mtu smart"sasa mtu smart gani ajui hata namna ya kusajili?,alienda Congo akapiga picha na Mbuyu Twite keshamsajili kumbe alikua hajijui kama hajui,wenye kujua kusajili wakamchukua Mbuyu na pesa za Rage zikaenda na maji.
 
Lage uwezi mfananisha na ao chawa, Lage hakuwa na pesa za MO lakini Simba ili tisha Lage hakupulizia wapinza dawa za kuwanyong'onyesha, Lage hakutumia Mapaka kushinda mechi, Lage hakutumia covid test kuwa nyong'onyesha wapinzani, kuhusu wachezaji Ao Chawa wa MO wamezidiwa Ujanja na Yanga kwenye usajili wa Djuma Shabani, Khalid Aucho, Dikson Ambundo Tena Chawa wakiwa na Mbeleko ya Mudi.
 
Attachments

  • VID-20210807-WA0007.mp4
    2.4 MB
Magori ni chawa tu wa Mudi, hajawahi kua na uwezo Wala ushawishi katika mpira wa nchi hii.
Kwa Simba Lage alikua mtu smart na haitaji ujanja ujanja kufanikisha Mambo,awa wakina Magori, Hanspop, Try again nguvu yao ipo kwa Tff ukiwaondolea Tff hii, ni wepesi Kama karatasi.
Nazan unaumwa na mavi mkuu

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom