darcity
JF-Expert Member
- Jul 20, 2009
- 9,101
- 18,055
Hili jamaa jinga Sana,watu wa akina Magori ni wazoefu waliokwishawahi kuongoza taasisi kubwa. Hanspope Ni mfanyabiashara na kiongozi Alafu wanajua vizuri mpira. Ndio maana Simba hufanyaga usajili wa uhakika.Nakubaliana na wewe hawa watu hawana uwezo kabisa. Wameishusha Simba kutoka nafasi ya 4 kwenye ligi mpaka ubingwa mara 4 mfululizo. Hawana watu wanaiharibu sana Simba. Simba sio timu ya kuwa 14 ranking za CAF ilitakiwa kuwa juu zaidi timu ya 56 huko.
Wafukuzwe Simba hawa kina Magori
Wao wanategemea wauza sura wakina Hersi hawajui chochote wanaenda kuokota wachezaji ndombolo Alafu wanailalamikia tff