NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,284
- 24,047
Heee,hee,hee,wakati huo Simba haikua na pesa ya Mo lakini ilitisha,sasa hivi Simba ina pesa ya Mo ndo itazidi kutisha,ubingwa back 2 back mpaka itimie misimu kumi.Lage uwezi mfananisha na ao chawa, Lage hakuwa na pesa za MO lakini Simba ili tisha Lage hakupulizia wapinza dawa za kuwanyong'onyesha, Lage hakutumia Mapaka kushinda mechi, Lage hakutumia covid test kuwa nyong'onyesha wapinzani, kuhusu wachezaji Ao Chawa wa MO wamezidiwa Ujanja na Yanga kwenye usajili wa Djuma Shabani, Khalid Aucho, Dikson Ambundo Tena Chawa wakiwa na Mbeleko ya Mudi.
Unajua maana ya neno kuingizwa chaka?,ndo Simba inawafanyia Yanga,Simba inampoint mchezaji kwa matangazo ili kuwaingiza chaka Yanga,kisha Yanga wanajaa Simba haoo wanahamia kimyakimya Ghana na Mali.
Shaban Djuma mechi moja uwanjani ya pili gereji.Simba ilimpiga As Vita na Shaban Djuma ikiwemo tena mechi ya away,mechi ya Kwa Mkapa Shaban Djuma alikua majeruhi(gereji)
wachezaji wenye kariba ya Aucho kwa pale Simba wapo wengi sana,kuna Mkude,Lwanga,Nyoni.historia ya Aucho ipo ana utovu wa nidhamu uliokithiri,ilo ni zigo.
Kama mnaamini uchawi upo kwenye soka kwanini Congo na Nigeria wachawi wakubwa awajabeba kombe la Dunia?