Magori: Maingizo mapya ni balaa,ahofia kupokonywa Banda

Heee,hee,hee,wakati huo Simba haikua na pesa ya Mo lakini ilitisha,sasa hivi Simba ina pesa ya Mo ndo itazidi kutisha,ubingwa back 2 back mpaka itimie misimu kumi.

Unajua maana ya neno kuingizwa chaka?,ndo Simba inawafanyia Yanga,Simba inampoint mchezaji kwa matangazo ili kuwaingiza chaka Yanga,kisha Yanga wanajaa Simba haoo wanahamia kimyakimya Ghana na Mali.
Shaban Djuma mechi moja uwanjani ya pili gereji.Simba ilimpiga As Vita na Shaban Djuma ikiwemo tena mechi ya away,mechi ya Kwa Mkapa Shaban Djuma alikua majeruhi(gereji)

wachezaji wenye kariba ya Aucho kwa pale Simba wapo wengi sana,kuna Mkude,Lwanga,Nyoni.historia ya Aucho ipo ana utovu wa nidhamu uliokithiri,ilo ni zigo.

Kama mnaamini uchawi upo kwenye soka kwanini Congo na Nigeria wachawi wakubwa awajabeba kombe la Dunia?
 
Mimi ni simba damu, ila kiukweli MO anaua team yetu.. Na ni tapeli,
Tumemchoka na hao chawa wake..

Bora niangalie X video kuliko hiyo takataka simba App
 
Mimi ni simba damu, ila kiukweli MO anaua team yetu.. Na ni tapeli,
Tumemchoka na hao chawa wake..

Bora niangalie X video kuliko hiyo takataka simba App
Haya fata hiyo bora achana na kuliko.
 
Kwasasa wamesajili robota la wachezaji wanadai wanataka kuwa kuza, ndio nilipo amini awa washauli wa MO ni chawa tu. Hivi tangulini katika Dunia ya ushindani wa soka timu kubwa ikawa imenunua vitoto vingi ili ivikuze !! Iyo Duniani inafanywa na Arsena tu. Timu kubwa ni ya wachezaji wakubwa, watoto ni mmoja au wawili Sasa mna Lundo la wachezaji ambao hawata tumika alafu unataka nusu fainal ya Afrika!!! Kweli umbumbumbu kipaji
 
halafu wachezaji wote wa mkopo. ameenda kuchukua kutoka ligi daraja la 3 kwenye nchi zao. Huyu Sakho hata kutuliza mpira hawezi. eti tunaambiwa kafunga magoli,uongo mtupu. Kama ni kiwango kweli angekuwa Yanga
 
Usiwe na shaka mkuu utopolo watafika hiyo nusu fainali ya CAF wamesajili vizuri sana.
 
Utaputapu fc hamuwawezi kwa maneno.
A.k.a. Utopolo.
Hao ni Mababu, mabingwa wa Zamani, wa Kihistoria.
Ukienda Makumbusho utayaona makombe yao ya Ubingwa waliochukua hapo Kale.
Wanadhihirisha kuwa Yanga ilikuwa Zamani na si Sasa.

Huu ni wakati wa Simba sc kutamba.
Tambeni Tambeni hamna mshindani.
 
Lage ndiyo nini. Kajifunze kuandika halafu urudi.

Malalamiko SC, mpaka mje mshtuke mtakuwa mmeshasahaulika. Chezeni mpira.
 
Yanga mpira wa mdomoni ni washind miaka yote,jezi kali wanatuzidi miaka yote ila uwanjani 0.
Kati Yanga na mikia nani bingwa mara nyingi na nani kamfunga mwenzake mara nyingi,ukipata jibu basi utakua umejua nani ana mpira wa mdomoni
 
Djuma injury yake 1 na kwa injury uharaka wake wa kupona huwezi kusema pancha kama alivyokua kapombe,kapombe ni kama puto muda wowote linabust,kitu kingine Yanga imesajili kutokana na maagizo ya kocha haijakurupuka kama nyie,aucho alikua kwenye plan ya mwl na mliposikia Yanga inamtaka mlifuata huku mkijua nafasi yake kuna hao kina mkude akawatosa,kazadi alikua ana mkataba kule moroco ila sven aliwaambia viongozi wanaweza wa kumuacha free agent,wakati tunasikilizia kazadi awe free agent mikia nao wakaanza tamaa yao,tukaamua kuwatoa kwenye reli tukajifanya tunamtaka inonga mikia kwa tamaa yao ikamvaba inonga kama ilivyotuzunguka kwa rally bwalya kipindi kile,matokeo yake sasa hivi nafasi za beki wa kati wana wawa,onyango na inonga hapo sijui nani atacheza na nani atakaa benchi,ni matumizi mabaya kusajili proffesional player wa kuja kuchoma hindi,huko mkiani anaesajili ni magori na pope na magori kishawahi kusema wao awamuachii kocha asajili
 
"Rage alikua mtu smart"sasa mtu smart gani ajui hata namna ya kusajili?,alienda Congo akapiga picha na Mbuyu Twite keshamsajili kumbe alikua hajijui kama hajui,wenye kujua kusajili wakamchukua Mbuyu na pesa za Rage zikaenda na maji.
Wewe una hasira na Rage kwa sababu alisema ninyi wote ni mbumbumbu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…