Magori ni kiongozi asiye na hekima, Mo Dewji umetuletea bomu wanasimba

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
16,871
Reaction score
39,881
Mo Dewji amemrithisha kiti cha uenyekiti cha ukurugenzi Simba ndugu Cresencius Magori

Magori Toka namfahamu ni mtu hana hekima ya uongozi Bali kukurupuka

1. Magori ndo alimlaumu goalkeeper Camara ati ameuza mechi ya Yanga.
Hii ilinishangaza mno kiongozi kutokuwa mwanamichezo na kutambua kuwa kwenye mpira timu inafungwa Kwa kufanya makosa.
Haikuwa hekima kusema wazi ati ameuza mechi

2. Kulaumu waamzi
Kiongozi mkubwa wa club kulaumu wafanya maamzi hadharani sio hekima. Ni kulipa timu na waamzi presha na hii inasababisha timu kufanya vibaya.

3. Magori ndo alisema uwanja wa Mkapa uko tayari Kwa ajili ya final ya CAFCC, wakati akijua uwanja upo katika marekebish.
Alishiriki katika kutapeli mashabiki waliofika uwanjani.

4. Mo anamweka Magori ili kukwamisha mchakato wa usajili wa Wanachama wapya.
Simba ina zaidi ya miaka 10 haijasajili mwanachama hata mmoja.
Kutosajili Wanachama wapya ni favor Kwa mwekezaji anayetaka awe na Wanachama wazee wasioweza kuhoji mambo ya msingi

5. Magori ni mfitinishi
Viongozi wengi upande wa Wanachama hawamhitaji Kwa tabia yake hiyo.

6. Mo anaendelea kutukandamiza na kuweka watu wake

7. Magori Kwa hicho cheo ni kikubwa mno. Ina maana Remote control itatoka Dubai alipo Mo
 
IMG-20250906-WA0033.jpg
 
Mimi 'Mo' nimekuelewa nitamteua Mzee Magoma.
 
Huyo jamaa ni mlalamishi sana. Kwa huo uteuzi wake, tutegemee malalamiko ya kutosha tu na yasiyo na ushahidi; kwa baadhi ya wachezaji, waamuzi, CAF, nk ndani ya msimu huu.
 
Mo Dewji amemrithisha kiti cha uenyekiti cha ukurugenzi Simba ndugu Cresencius Magori

Magori Toka namfahamu ni mtu hana hekima ya uongozi Bali kukurupuka

1. Magori ndo alimlaumu goalkeeper Camara ati ameuza mechi ya Yanga.
Hii ilinishangaza mno kiongozi kutokuwa mwanamichezo na kutambua kuwa kwenye mpira timu inafungwa Kwa kufanya makosa.
Haikuwa hekima kusema wazi ati ameuza mechi

2. Kulaumu waamzi
Kiongozi mkubwa wa club kulaumu wafanya maamzi hadharani sio hekima. Ni kulipa timu na waamzi presha na hii inasababisha timu kufanya vibaya.

3. Magori ndo alisema uwanja wa Mkapa uko tayari Kwa ajili ya final ya CAFCC, wakati akijua uwanja upo katika marekebish.
Alishiriki katika kutapeli mashabiki waliofika uwanjani.

4. Mo anamweka Magori ili kukwamisha mchakato wa usajili wa Wanachama wapya.
Simba ina zaidi ya miaka 10 haijasajili mwanachama hata mmoja.
Kutosajili Wanachama wapya ni favor Kwa mwekezaji anayetaka awe na Wanachama wazee wasioweza kuhoji mambo ya msingi

5. Magori ni mfitinishi
Viongozi wengi upande wa Wanachama hawamhitaji Kwa tabia yake hiyo.

6. Mo anaendelea kutukandamiza na kuweka watu wake

7. Magori Kwa hicho cheo ni kikubwa mno. Ina maana Remote control itatoka Dubai alipo Mo

Haya maneno kakuambia Hersi? Sasa Hersi anataka hekima za nini kwa Magori? Au wewe na Hersi mnataka Hekima za Magori za nini na wakati ana mke? Mtulie tafuteni wanaume wengine wenye hekima. Na wewe siyo kila cha kuambiwa na Hersi mkiwa wawili unakuja kupost. Hizo ni akili za mbayuwayu. Za kuambiwa changanya na zako.
 
Haya maneno yameandikwa na huyu chizi ni kweli?

"Haya maneno kakuambia Hersi? Sasa Hersi anataka hekima za nini kwa Magori? Au wewe na Hersi mnataka Hekima za Magori za nini na wakati ana mke? Mtulie tafuteni wanaume wengine wenye hekima. Na wewe siyo kila cha kuambiwa na Hersi mkiwa wawili unakuja kupost. Hizo ni akili za mbayuwayu. Za kuambiwa changanya na zako."
 
Mo Dewji amemrithisha kiti cha uenyekiti cha ukurugenzi Simba ndugu Cresencius Magori

Magori Toka namfahamu ni mtu hana hekima ya uongozi Bali kukurupuka

1. Magori ndo alimlaumu goalkeeper Camara ati ameuza mechi ya Yanga.
Hii ilinishangaza mno kiongozi kutokuwa mwanamichezo na kutambua kuwa kwenye mpira timu inafungwa Kwa kufanya makosa.
Haikuwa hekima kusema wazi ati ameuza mechi

2. Kulaumu waamzi
Kiongozi mkubwa wa club kulaumu wafanya maamzi hadharani sio hekima. Ni kulipa timu na waamzi presha na hii inasababisha timu kufanya vibaya.

3. Magori ndo alisema uwanja wa Mkapa uko tayari Kwa ajili ya final ya CAFCC, wakati akijua uwanja upo katika marekebish.
Alishiriki katika kutapeli mashabiki waliofika uwanjani.

4. Mo anamweka Magori ili kukwamisha mchakato wa usajili wa Wanachama wapya.
Simba ina zaidi ya miaka 10 haijasajili mwanachama hata mmoja.
Kutosajili Wanachama wapya ni favor Kwa mwekezaji anayetaka awe na Wanachama wazee wasioweza kuhoji mambo ya msingi

5. Magori ni mfitinishi
Viongozi wengi upande wa Wanachama hawamhitaji Kwa tabia yake hiyo.

6. Mo anaendelea kutukandamiza na kuweka watu wake

7. Magori Kwa hicho cheo ni kikubwa mno. Ina maana Remote control itatoka Dubai alipo Mo

SISI YANGA KUTWA KUCHA TUNAHANGAIKA NA SIMBA. KUANZIA MSEMAJI WETU, VIONGOZI HADI NYIE WAKAA KWAPANI MWA VIONGOZI. WEWE NI MPENZI WA YANGA NA NIMEONA MDAU MMOJA ANASEMA NI MTU WA KARIBU SANA NA INJINIA. LEO UMEKUWA MWANASIMBA? 😀
 
Mo Dewji amemrithisha kiti cha uenyekiti cha ukurugenzi Simba ndugu Cresencius Magori

Magori Toka namfahamu ni mtu hana hekima ya uongozi Bali kukurupuka

1. Magori ndo alimlaumu goalkeeper Camara ati ameuza mechi ya Yanga.
Hii ilinishangaza mno kiongozi kutokuwa mwanamichezo na kutambua kuwa kwenye mpira timu inafungwa Kwa kufanya makosa.
Haikuwa hekima kusema wazi ati ameuza mechi

2. Kulaumu waamzi
Kiongozi mkubwa wa club kulaumu wafanya maamzi hadharani sio hekima. Ni kulipa timu na waamzi presha na hii inasababisha timu kufanya vibaya.

3. Magori ndo alisema uwanja wa Mkapa uko tayari Kwa ajili ya final ya CAFCC, wakati akijua uwanja upo katika marekebish.
Alishiriki katika kutapeli mashabiki waliofika uwanjani.

4. Mo anamweka Magori ili kukwamisha mchakato wa usajili wa Wanachama wapya.
Simba ina zaidi ya miaka 10 haijasajili mwanachama hata mmoja.
Kutosajili Wanachama wapya ni favor Kwa mwekezaji anayetaka awe na Wanachama wazee wasioweza kuhoji mambo ya msingi

5. Magori ni mfitinishi
Viongozi wengi upande wa Wanachama hawamhitaji Kwa tabia yake hiyo.

6. Mo anaendelea kutukandamiza na kuweka watu wake

7. Magori Kwa hicho cheo ni kikubwa mno. Ina maana Remote control itatoka Dubai alipo Mo
Wewe mtopolo haya ya huku tuachie wenyewe, please!
JamiiForums1381953234.jpeg
 
7. Magori Kwa hicho cheo ni kikubwa mno. Ina maana Remote control itatoka Dubai
Umewahi kuwa Kiongozi hata wa familia ?
 
Mkuu wewe mtu wa Yanga, mambo ya watu yanakuhusu nini?
 
Back
Top Bottom