Jana nilikutana na mama mmoja kichaa alikuwa akilalamika na kuzungumza kwa jazba kama vile yuko jukwaani .. nilibahatika kuyasikia badhi ya maneno yake alisema hivi "ccm wezi kweli kweli hawafai kabisa , washenzi ... " maneno mengine ni makubwa zaidi .. kwani ni matusi ya nguoni kwa viongozi wa chama hicho
Niliwaza sana na kushangaa kwanini ccm inalalamikiwa mpaka na vichaa .. ndugu zangu hapa kunani??????
Kwa hali hii .. najitoa kote kote .. sina chama mie
....Mbio zao za sakafuni hao hawana lolote nina imani hat hiyo 2010 akae chonjo anaweza kunawa na kula asile kama mwenzake Rita ndio tunaelekea kumsahau taratibu hivyooooo!!!Hivi bado mnayashangaa mambo haya! Asingefanya hivyo labda ndio ningeshangaa
endeleeni kusubiri vyanzo vya habari vya uhakika, nilichosema ndicho hicho kama una maslahi na mama six its none of my bussness! Kifupi mama sixalisimamisha basi la wajumbe toka urambo eneo la makokola relini!akatoa fedha,alisimamisha basi la wajumbe wa nzega eneo la ipuli akatoa fedha, aliwafuata wajumbe wa sikonge nice hotel akatoa fedha,aliwafuata wajumbe wa igunga ,isamilo inn akamaliza mchezo zaidi ya hapo wahitaji ushahidi gani, hatahivyo swala la kuamini au kutokuamini si langu ni wewe unayesoma habari hizi!cha msingi habari halisi ndio hizi
bw, m-bongo
baada ya kufuatilia hii hoja yako nataka nikufamishe kuwa mwandishi wetu alieko isevya ttabora ambae alikuwepo anasema kwamba mama six alifika ukumbini akitokea uwanja wa ndege moja kwa mmoja kuelekea ukumbini maana ndege ndogo iliowaleta na watu wengine ilifika ikiwa imechelewa, sasa swali langu kwako ni muda gani mtu atapata wa kugawa hizo fuedha ? Na habari zaidi zinasema waligeuza siku hiyo hiyo. Na nimeomba nipatiwe mpaka gari alilopanda na namba zake ili tuwakilishe hapa na pia muandishi wetu anajaribu kumsaka dereva alie muendesha ili atueleze zaidi kaa mkao wa kula....more to come