Modereta
Senior Member
- Jul 24, 2008
- 164
- 17
Haya mambo magumu, watafuta vyeo wamezoea walioko nje wanadhani ndio njia pekee, lakini labda wana JF tujitose nasi na bila kutumia hizo njia za uhongaji!!!!!!!!!! Swali je watatupa ???????????? yawezekana HAPANA kwa vile jamii ya WaTZ wengi wapigao kura bado wanapumbazwa au hawaoni mtu mwingine wa kupigia kura, hasa ikizingatiwa labda tunasema tu huku pembeni.
Nadhani tuendelee na hii kampeni polepole itawafikia na wengi, vitu kama Kijarida kuendelea kutolewa.
Nadhani tuendelee na hii kampeni polepole itawafikia na wengi, vitu kama Kijarida kuendelea kutolewa.