Magreth sitta nae kaanza!

Magreth sitta nae kaanza!

Haya mambo magumu, watafuta vyeo wamezoea walioko nje wanadhani ndio njia pekee, lakini labda wana JF tujitose nasi na bila kutumia hizo njia za uhongaji!!!!!!!!!! Swali je watatupa ???????????? yawezekana HAPANA kwa vile jamii ya WaTZ wengi wapigao kura bado wanapumbazwa au hawaoni mtu mwingine wa kupigia kura, hasa ikizingatiwa labda tunasema tu huku pembeni.
Nadhani tuendelee na hii kampeni polepole itawafikia na wengi, vitu kama Kijarida kuendelea kutolewa.
 
Jana nilikutana na mama mmoja kichaa alikuwa akilalamika na kuzungumza kwa jazba kama vile yuko jukwaani .. nilibahatika kuyasikia badhi ya maneno yake alisema hivi "ccm wezi kweli kweli hawafai kabisa , washenzi ... " maneno mengine ni makubwa zaidi .. kwani ni matusi ya nguoni kwa viongozi wa chama hicho

Niliwaza sana na kushangaa kwanini ccm inalalamikiwa mpaka na vichaa .. ndugu zangu hapa kunani??????

Kwa hali hii .. najitoa kote kote .. sina chama mie

Bwa haaaa haaa aaa! Mie nilikuwa likizo mwezi uliopita na nikaenda kwa kinyozi na nje mlangoni kuna bendera ya CCM, nikamsalimia ,Jambo kijana wa sisiemu, akaitikia "achana na wajinga hao mie ni chadema" nikamuuliza mbona umetundika bendera yao? akasema kula na mjinga lazima uwe mjanja kidogo, nikamwambia kadi yako iko wapi? akatoa kadi ya CCM na ndani yake akatoa kadi ya kupigia kura na kadi nyingine ya Chadema,nilizidi kumchunguza na mwisho akaniambia kuwa si vijana tu , kuna hata wazee wanakamtindo hako ili wale vya hao wajinga wasiosikia na watawatambua hapo uchaguzi utakapofika
 
Nimefurahi.

Acheni wagawe hela, nyie mnafikiri sisi wa mbagala tutakula wapi?. Wagawe hela tu.. kura ni siri yangu!

JK waachie tu watugawie hela wala usishugulike nao.

Wajumbe wa mkutano huo wameonyesha kukomaa sana ...HONGERA za dhati!
 
Hivi bado mnayashangaa mambo haya! Asingefanya hivyo labda ndio ningeshangaa
....Mbio zao za sakafuni hao hawana lolote nina imani hat hiyo 2010 akae chonjo anaweza kunawa na kula asile kama mwenzake Rita ndio tunaelekea kumsahau taratibu hivyooooo!!!
 
endeleeni kusubiri vyanzo vya habari vya uhakika, nilichosema ndicho hicho kama una maslahi na mama six its none of my bussness! Kifupi mama sixalisimamisha basi la wajumbe toka urambo eneo la makokola relini!akatoa fedha,alisimamisha basi la wajumbe wa nzega eneo la ipuli akatoa fedha, aliwafuata wajumbe wa sikonge nice hotel akatoa fedha,aliwafuata wajumbe wa igunga ,isamilo inn akamaliza mchezo zaidi ya hapo wahitaji ushahidi gani, hatahivyo swala la kuamini au kutokuamini si langu ni wewe unayesoma habari hizi!cha msingi habari halisi ndio hizi

bw, m-bongo


baada ya kufuatilia hii hoja yako nataka nikufamishe kuwa mwandishi wetu alieko isevya ttabora ambae alikuwepo anasema kwamba mama six alifika ukumbini akitokea uwanja wa ndege moja kwa mmoja kuelekea ukumbini maana ndege ndogo iliowaleta na watu wengine ilifika ikiwa imechelewa, sasa swali langu kwako ni muda gani mtu atapata wa kugawa hizo fuedha ? Na habari zaidi zinasema waligeuza siku hiyo hiyo. Na nimeomba nipatiwe mpaka gari alilopanda na namba zake ili tuwakilishe hapa na pia muandishi wetu anajaribu kumsaka dereva alie muendesha ili atueleze zaidi kaa mkao wa kula....more to come
 
bw, m-bongo


baada ya kufuatilia hii hoja yako nataka nikufamishe kuwa mwandishi wetu alieko isevya ttabora ambae alikuwepo anasema kwamba mama six alifika ukumbini akitokea uwanja wa ndege moja kwa mmoja kuelekea ukumbini maana ndege ndogo iliowaleta na watu wengine ilifika ikiwa imechelewa, sasa swali langu kwako ni muda gani mtu atapata wa kugawa hizo fuedha ? Na habari zaidi zinasema waligeuza siku hiyo hiyo. Na nimeomba nipatiwe mpaka gari alilopanda na namba zake ili tuwakilishe hapa na pia muandishi wetu anajaribu kumsaka dereva alie muendesha ili atueleze zaidi kaa mkao wa kula....more to come

Sawa Mama Margeth Sitta
 
Wandugu UramboTabora na M-Bongo mbona mnatuchanganya? Kati ya jua na mvua kipi kilijiri?
 
Back
Top Bottom