pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
Kwahivyo wewe unajua kwamba Mlima Kenya hauna hiyo 'barafu' ambayo unasema? Elimu, elimu, elimu.Kwani mlima Kenya una barafuu!?? Hahahaa huo wizi nyie mlizaliwa nao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahivyo wewe unajua kwamba Mlima Kenya hauna hiyo 'barafu' ambayo unasema? Elimu, elimu, elimu.Kwani mlima Kenya una barafuu!?? Hahahaa huo wizi nyie mlizaliwa nao
Sasa mbona hamshughuliki na mlima wenu badala yake mnahangaika na Kilimanjaro?Kwahivyo wewe unajua kwamba Mlima Kenya haina hiyo 'barafu' ambayo unasema? Elimu, elimu, elimu.
Evidence unayo kwamba tuliwakandamiza waafrika wenzetu?Hahahahaha, Hahahahaha, ninafurahi kwa jinsi mnavyojipa matumaini. Waswahili husema "Mwisho wa ubaya ni aibu". Mnakumbuka jinsi mlivyowatosa kipindi wanachinjwa na makaburu weupe, ninyi mkaungana na wazungu kuwakandamiza?
Umejuaje kwamba hatushughuliki na Mlima Kenya? Jina la nchi limetoka kwa mlima huo, mlima upo kwenye nembo za Kenya kama 'court of arms'. Zaidi ya yote wakenya huwa wanafanya sala zao kwa Mungu wakitazama Mlima Kenya kama kibla kwasababu ni mlima mtakatifu.Sasa mbona hamshughuliki na mlima wenu badala yake mnahangaika na Kilimanjaro?
Sasa mbona kwenye utalii mnatangaza Kilimanjaro zaidi kuliko mt.Kenya?Umejuaje kwamba hatushughuliki na Mlima Kenya? Jina la nchi limetoka kwa mlima huo, mlima upo kwenye nembo za Kenya kama 'court of arms'. Zaidi ya yote wakenya huwa wanafanya sala zao kwa Mungu wakitazama Mlima Kenya kama kibla kwasababu ni mlima mtakatifu.
Nimeuliza Anko au kuuliza ni ujinga??? Sijawai ona picha ya mt Kenya so sidhani ka kuuliza nimekoseaKwahivyo wewe unajua kwamba Mlima Kenya hauna hiyo 'barafu' ambayo unasema? Elimu, elimu, elimu.
Sawa bwana pinglinyweeeee nimeona mabarafu yenu asee kumbe na nyie mnayo hahahahahahaa daaaaKwahivyo wewe unajua kwamba Mlima Kenya hauna hiyo 'barafu' ambayo unasema? Elimu, elimu, elimu.
Mbona mnakomaa kupromoti Kilimanjaro wakati na nyie mnalimlima lenu kubwa mixer lina mibarafu mingi kinomaaUmejuaje kwamba hatushughuliki na Mlima Kenya? Jina la nchi limetoka kwa mlima huo, mlima upo kwenye nembo za Kenya kama 'court of arms'. Zaidi ya yote wakenya huwa wanafanya sala zao kwa Mungu wakitazama Mlima Kenya kama kibla kwasababu ni mlima mtakatifu.
Evidence unayo kwamba tuliwakandamiza waafrika wenzetu?
Woooza Hii totoz balaa arifTUKI ndo baba la mababa wa Kiswahili,Na Rwanda nao officially wameachana na Kifaransa Lugha yao sasa ni Kiswahili..Ngoja nikaombe kazi ya kufundishwa Rwanda https://www.watchdoguganda.com/news...rops-english-french-in-favour-of-swahili.html
Kwa Neema Za Mwenyenzi Mungu Kama hizi Nahamia kabisa Rwanda
View attachment 1108760View attachment 1108761View attachment 1108762
Kujifunza kingereza kwa mwal muingereza ndio njia sahihi kuliko akikufunza mswahili...Waalimu wa kenya watakua kwenye nafasi nzuri zaidi kwa vile na kizungu kinapanda itasaidia kuwaelimisha wa south kuliko wabongo
Hapa umenenaSasa hiyo ndiyo vizuri, nilifundishwa kifaransa na mwalimu ambae hajui kiswahili na English anaongea broken yani akija mnakua makini na muda mwingi anatumia kifaransa, faster class watu tukawa kama tuko Paris.
InachomaAah wapi, kazi kuiga tu, mbona hizi fursa zilikuwepo kabla ya Kenya kuzichangamkia? Kenya ndio baba yao A.M. tukifanya lolote mnafatilia kwa umakini wa hali ya juu ili mjifunze. Hamna idea, mpo mpo tu.
Haitamake profit Kwan ww inakuhusu nnThis is exactly where he goes wrong.,He should put tz interests first not do everything it takes to bed the kenyans just like your sgr.,,trust me your sgr will never make profit not at least after 10yrs.,,poor planning just to beat the kenyans.,,
Eti wakenya wanatangaza Kilimanjaro zaidi ya Ml. Kenya? 😀 Ndio maana mna low self esteem kama rais wenu. Endeleeni kuvuta blanketi, miaka yote hii bado hamna idea kabisa, hamtangazi mlima wenu mnalialia tu.Mbona mnakomaa kupromoti Kilimanjaro wakati na nyie mnalimlima lenu kubwa mixer lina mibarafu mingi kinomaa
Sasa mbona kwenye utalii mnatangaza Kilimanjaro zaidi kuliko mt.Kenya?
Eti wakenya wanatangaza Kilimanjaro zaidi ya Ml. Kenya? 😀 Ndio maana mna low self esteem kama rais wenu. Endeleeni kuvuta blanketi, miaka yote hii bado hamna idea kabisa, hamtangazi mlima wenu mnalialia tu.
Hahahahaha, Leo mnakataa kwamba hamtangazi Kilimanjaro zaidi ya mlima wenu?, Hahahahaha kweli ninyi ni kichaa, onyesha ndege gani ya KQ iliyoandikwa Mt. Kenya. Kama mnautangaza zaidi, kwanini watalii wanazidi kuja Kilimanjaro wakitokea Nairobi badala ya kwenda mt.Kenya?. Hahahahaha, HahahahahaEti wakenya wanatangaza Kilimanjaro zaidi ya Ml. Kenya? 😀 Ndio maana mna low self esteem kama rais wenu. Endeleeni kuvuta blanketi, miaka yote hii bado hamna idea kabisa, hamtangazi mlima wenu mnalialia tu.
Haha! 😀 Alafu usidhani ni mzaha. Umenikumbusha tukio lengine lililonishangaza mno na ambalo sikutaka kuamini kwamba ni kweli. Rais U.K alitoa kadi ya kuwatakia wakenya heri na fanaka za krisimasi/mwaka mpya 2017 kutoka ikulu, kama ilivyo kawaida kila mwaka. Watz wakazua vurugu mitandaoni wakisema kwamba background ya picha ambayo ilikuwa ni Mlima Kenya eti ni Kilimanjaro. Mzee wa mikwara naye akakurupuka kama kawa, na watz wakapata kadi yao ya kwanza kutoka ikulu.
Copy and paste mbovu hadi niliona aibu kwa niaba ya majirani. Hivyo ndivyo mambo yalivyo. Mungu awabariki wakenya wenzangu, wazidi kuwa watu wanaojiamini, wabunifu na wenye moyo wa kudhubutu.![]()