Magufuli ainyang'anya tena Kenya fursa, kama alivyofanya katika bomba la Uganda.

Magufuli ainyang'anya tena Kenya fursa, kama alivyofanya katika bomba la Uganda.

Hahahahaha, Hahahahaha, ninafurahi kwa jinsi mnavyojipa matumaini. Waswahili husema "Mwisho wa ubaya ni aibu". Mnakumbuka jinsi mlivyowatosa kipindi wanachinjwa na makaburu weupe, ninyi mkaungana na wazungu kuwakandamiza?
Evidence unayo kwamba tuliwakandamiza waafrika wenzetu?
 
Sasa mbona hamshughuliki na mlima wenu badala yake mnahangaika na Kilimanjaro?
Umejuaje kwamba hatushughuliki na Mlima Kenya? Jina la nchi limetoka kwa mlima huo, mlima upo kwenye nembo za Kenya kama 'court of arms'. Zaidi ya yote wakenya huwa wanafanya sala zao kwa Mungu wakitazama Mlima Kenya kama kibla kwasababu ni mlima mtakatifu.
 
Sasa mbona kwenye utalii mnatangaza Kilimanjaro zaidi kuliko mt.Kenya?
 
Kwahivyo wewe unajua kwamba Mlima Kenya hauna hiyo 'barafu' ambayo unasema? Elimu, elimu, elimu.
Sawa bwana pinglinyweeeee nimeona mabarafu yenu asee kumbe na nyie mnayo hahahahahahaa daaaa
images%20(2).jpeg
 
Umejuaje kwamba hatushughuliki na Mlima Kenya? Jina la nchi limetoka kwa mlima huo, mlima upo kwenye nembo za Kenya kama 'court of arms'. Zaidi ya yote wakenya huwa wanafanya sala zao kwa Mungu wakitazama Mlima Kenya kama kibla kwasababu ni mlima mtakatifu.
Mbona mnakomaa kupromoti Kilimanjaro wakati na nyie mnalimlima lenu kubwa mixer lina mibarafu mingi kinomaa
 
Waalimu wa kenya watakua kwenye nafasi nzuri zaidi kwa vile na kizungu kinapanda itasaidia kuwaelimisha wa south kuliko wabongo
Kujifunza kingereza kwa mwal muingereza ndio njia sahihi kuliko akikufunza mswahili...
Vivyo hivyo hao jamaa watapata shule nzuri kwan watanzania ndio wanaokijua kiswahili fasaha sio hao wakora wa VOI
 
Sasa hiyo ndiyo vizuri, nilifundishwa kifaransa na mwalimu ambae hajui kiswahili na English anaongea broken yani akija mnakua makini na muda mwingi anatumia kifaransa, faster class watu tukawa kama tuko Paris.
Hapa umenena
 
Aah wapi, kazi kuiga tu, mbona hizi fursa zilikuwepo kabla ya Kenya kuzichangamkia? Kenya ndio baba yao A.M. tukifanya lolote mnafatilia kwa umakini wa hali ya juu ili mjifunze. Hamna idea, mpo mpo tu.
Inachoma
 
This is exactly where he goes wrong.,He should put tz interests first not do everything it takes to bed the kenyans just like your sgr.,,trust me your sgr will never make profit not at least after 10yrs.,,poor planning just to beat the kenyans.,,
Haitamake profit Kwan ww inakuhusu nn
 
Mbona mnakomaa kupromoti Kilimanjaro wakati na nyie mnalimlima lenu kubwa mixer lina mibarafu mingi kinomaa
Eti wakenya wanatangaza Kilimanjaro zaidi ya Ml. Kenya? 😀 Ndio maana mna low self esteem kama rais wenu. Endeleeni kuvuta blanketi, miaka yote hii bado hamna idea kabisa, hamtangazi mlima wenu mnalialia tu.
Sasa mbona kwenye utalii mnatangaza Kilimanjaro zaidi kuliko mt.Kenya?
 
Ukweli ndio huo kimlima chenu ni ugly sana that's why mnakomaa na cha jirani..
Tunawashukuru Ila endeleeni kuupa promo mlima wetu
Eti wakenya wanatangaza Kilimanjaro zaidi ya Ml. Kenya? 😀 Ndio maana mna low self esteem kama rais wenu. Endeleeni kuvuta blanketi, miaka yote hii bado hamna idea kabisa, hamtangazi mlima wenu mnalialia tu.
 
Eti wakenya wanatangaza Kilimanjaro zaidi ya Ml. Kenya? 😀 Ndio maana mna low self esteem kama rais wenu. Endeleeni kuvuta blanketi, miaka yote hii bado hamna idea kabisa, hamtangazi mlima wenu mnalialia tu.
Hahahahaha, Leo mnakataa kwamba hamtangazi Kilimanjaro zaidi ya mlima wenu?, Hahahahaha kweli ninyi ni kichaa, onyesha ndege gani ya KQ iliyoandikwa Mt. Kenya. Kama mnautangaza zaidi, kwanini watalii wanazidi kuja Kilimanjaro wakitokea Nairobi badala ya kwenda mt.Kenya?. Hahahahaha, Hahahahaha
 
Haha! 😀 Alafu usidhani ni mzaha. Umenikumbusha tukio lengine lililonishangaza mno na ambalo sikutaka kuamini kwamba ni kweli. Rais U.K alitoa kadi ya kuwatakia wakenya heri na fanaka za krisimasi/mwaka mpya 2017 kutoka ikulu, kama ilivyo kawaida kila mwaka. Watz wakazua vurugu mitandaoni wakisema kwamba background ya picha ambayo ilikuwa ni Mlima Kenya eti ni Kilimanjaro. Mzee wa mikwara naye akakurupuka kama kawa, na watz wakapata kadi yao ya kwanza kutoka ikulu.
img-20161228-wa0033-jpg.451381
img-20161231-wa0133-jpg.452538
Copy and paste mbovu hadi niliona aibu kwa niaba ya majirani. Hivyo ndivyo mambo yalivyo. Mungu awabariki wakenya wenzangu, wazidi kuwa watu wanaojiamini, wabunifu na wenye moyo wa kudhubutu.

Pengine ungeshangaa vile Mlima Kilimanjaro upo kwenye hiyo background ya hao wezi wawili,
Even Kenyan president and His Deputy are thieves, What a failed state[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Back
Top Bottom