Fursakibao
JF-Expert Member
- Dec 12, 2017
- 6,813
- 11,540
niliwaambia humu wakabisha. tena 10 mingiSafari hii lazima mkae,
Tutaona huo uchumi wenu miaka 10 ijayo mtakuwa wapi, Tuombe uzima humu,
Japokuwa nia ni hiyo Actually si kweli ati Watalii wanakuja wengi Mt Kilimanjaro toka Nairobi!Hahahahaha, Leo mnakataa kwamba hamtangazi Kilimanjaro zaidi ya mlima wenu?, Hahahahaha kweli ninyi ni kichaa, onyesha ndege gani ya KQ iliyoandikwa Mt. Kenya. Kama mnautangaza zaidi, kwanini watalii wanazidi kuja Kilimanjaro wakitokea Nairobi badala ya kwenda mt.Kenya?. Hahahahaha, Hahahahaha
Uliuliza au ulisema? Hadi ukamalizia kwa kusema kwamba tumeiba 'barafu' yenu! Kumbe hujaelimika na wala huna ufahamu msingi wa jeografia ya Afrika?Nimeuliza Anko au kuuliza ni ujinga??? Sijawai ona picha ya mt Kenya so sidhani ka kuuliza nimekosea
Kuuliza sio ujinga ila ujuaji wa peni mbili ni upimbi flani wa hali ya juu.Kwani mlima Kenya una barafuu!?? Hahahaa huo wizi nyie mlizaliwa nao
Uliuliza au ulisema? Hadi ukamalizia kwa kusema kwamba tumeiba 'barafu' yenu! Kumbe hujaelimika na wala huna ufahamu msingi wa jeografia ya Afrika? Kuuliza sio ujinga ila ujuaji wa peni mbili ni upimbi flani wa hali ya juu.
Hii ndio hali juu kileleni Ml. Kenya.
Unaumwa, mimi nilishangazwa na copy and paste mbovu ya rais wenu. Hebu tizama hizo picha mbili alafu uniambie kama hio milima inafanana.Pengine ungeshangaa vile Mlima Kilimanjaro upo kwenye hiyo background ya hao wezi wawili,
Even Kenyan president and His Deputy are thieves, What a failed state[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
huyo RC hahahaUjenzi wa "manyumba"! 🤣 🙂
Unaumwa, mimi nilishangazwa na copy and paste mbovu ya rais wenu. Hebu tizama hizo picha mbili alafu uniambie kama hio milima inafanana.
what have we copied from you. arent you copying from others as well?smart on what exactly copy pasting Kenya's projects or succumbing to every investment conditions just to beat Kenya,?
[emoji23][emoji23][emoji23]kumbe tulianza kufundisha, Watanzania hakupendi sifa [emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu pale pia walipigwa changa la macho, mafuta hayatoshi. iliwapate faida lazima wazalishe pipa laki nee kwa siku, ila sasa inaonekana wanazalisha 80,000 tu. hamna kitunpaleHivi Yale MAGARI na wale punda mliosema wataanza kubeba Yale mafuta toka Lokachiar hadi Mombasa wameshaanza, au lile BOMBA mlilosema mtajenga baada ya Magufuli kuwapiga bao, tayari mlishakamilisha, Hahahahaha.
Sio MT Kenya hii picha!Uliuliza au ulisema? Hadi ukamalizia kwa kusema kwamba tumeiba 'barafu' yenu! Kumbe hujaelimika na wala huna ufahamu msingi wa jeografia ya Afrika? Kuuliza sio ujinga ila ujuaji wa peni mbili ni upimbi flani wa hali ya juu.
Hii ndio hali juu kileleni Ml. Kenya.
Hahaha! [emoji1] Soma ujifunze mengi zaidi kuhusu Mlima Kenya. https://african.one/mt-kenya-national-park/Sio MT Kenya hii picha!
Hauna peaks nyingi hivyo!Hahaha! [emoji1] Soma ujifunze mengi zaidi kuhusu Mlima Kenya. https://african.one/mt-kenya-national-park/
Tutakuwa upper middle income
Kwa hivyo huo mlima ni upi?Hauna peaks nyingi hivyo!
Huu sio mlima Kenya, mlima Kenya hauna series of picks, kama kawaida yenu kudanganya, hii most likely ni hile milima iliyopi Ulaya, kati ya Uswis na FranceHahaha! [emoji1] Soma ujifunze mengi zaidi kuhusu Mlima Kenya. https://african.one/mt-kenya-national-park/
This is exactly where he goes wrong.,He should put tz interests first not do everything it takes to bed the kenyans just like your sgr.,,trust me your sgr will never make profit not at least after 10yrs.,,poor planning just to beat the kenyans.,,
keep telling yourself thatAhaaa haaa haaa
Yours is now making a profit.
Ours is already making profit (even if is not operating) coz is subsidised by injecting money from (vgf). Its finances will always add up.
keep telling yourself that