Haitatokea kaka endeleeni ku sign MOU πππππ wakati sisi tunaenda direct kumaliza shughuli na namibia wamekubali na zimbabwe pia ππππ ama kweli magu chumaPunguza dose jombaa, walimu wa Kenya watatua RSA upende usipende, hiyo ni fact ambayo haitabadilika hata ukijitia hamnazo au ufunge na kuomba. Tena kazi yao wataifanya bila ya kumtazama yeyote yule kama tu serikali yao ilivofanya ilipofanikisha fursa hiyo kwao. Its the Kenyan way, but do we say.
Munawaza nini ??? Hebu tueleze munayowaza kuuza parachichi china??πππππ wakat nimeskia masharti yamewatoeni makamasiMeanwhile sisi tunawaza mengine mengi ya maana zaidi. Kama ilivyo kawaida yenu tufateni kama mkia.
Kwa vile unaona waalimu wanaokwenda huko kutoka tanzania ni vilaza au sio??? Baba mark my words hakuna mwalimu yoyote wa kenya atakwenda south africa kufundishaWaalimu wa kenya watakua kwenye nafasi nzuri zaidi kwa vile na kizungu kinapanda itasaidia kuwaelimisha wa south kuliko wabongo
Wamefeli naskia masharti ya mchina yamewatoa makamasiπππAhaaa haaa haaa
Hivi ile deal ya MAPARACHICHI mmefikia wapi?
Hakuna sehemu kenya mumefika hakuna yani munauozo wa hali ya juu ππππMungu ni mwema atawapa uzima kama alivowapa mababu zenu walipoibuka na kauli mbiu yao ya kuipiku Kenya.
Mungemuingiza uganda kwenye loan isiolipika ndio maana tukachukua sisiBomba ambalo halijaanza kujengwa? Kama UG wangetuchagua bomba lingekuwa limekamilika.
Ku sign MOU sio kukubaliwa we boya πππππ hakuna mkenya atakwenda south africa kufundisha kiswahili subiri ujioneeMliona walimu wetu wamekubaliwa kuenda huko sasa mkafuata pia mpewe nafasi. Nyinyi mnapenda kushindana na KE sana.
Huwezi kuongelea suala la rasilimali mpaka uhakikishe watu wako wamepata elimu kwenye kila sector na tanzania ilifanya vzr sana kusubiri na kuzuia rasilimali zake mpaka ilipohakikisha watanzania wamesoma na man power kwenye kila sector ipo,Tanzania kuendekeza malumbano na mashindano ya kiuchumi na nvhi kama Kenya tunapoteza muda. Kenya hawana hata robo ya rasilimali tulizo nazo. Badalala ya kushindana na Kenya tunatakiwa tujilinganishe ns mataifa yenye wingi wa rasilimali kama sisi. Ni suala la muda tu, Tanzania inatakiwe iwe na uchumi mkubwa kuliko nchi yoyote ya EAC.
Kenya bado walimu wetu wataenda Sauzi Afrika, kwa hivyo hatujanyang'anywa fursa. Ramaphosa amewaonea huruma akaamua kuwapa fursa kidogo hata hivyo KE itapewa asilimia kubwa ya fursa kushinda TZ.
Mt Kilimanjaro, Kenya na Ruwenzori ina barafuKwani mlima Kenya una barafuu!?? Hahahaa huo wizi nyie mlizaliwa nao
Half mindWapi yule Dingi MK254
Nani anaijua mount kenya???πππMt Kilimanjaro, Kenya na Ruwenzori ina barafu
Hujui finance, you better shut up.
Haitatokea kaka endeleeni ku sign MOU πππππ wakati sisi tunaenda direct kumaliza shughuli na namibia wamekubali na zimbabwe pia ππππ ama kweli magu chuma
Kuna vitu vingi wametufunza ndugu zetu wa Kenya e.gHivi ulishaona Tanzania inakuja kujifunza kitu kwenu!!!? Zaid nyie ndio huwa mnakuja kujifunza tz mfano brt.
Tunachokosa sisi ni Rasilimali watu ili wasimamie Rasilimali nyingine zifanye vizuriTanzania kuendekeza malumbano na mashindano ya kiuchumi na nvhi kama Kenya tunapoteza muda. Kenya hawana hata robo ya rasilimali tulizo nazo. Badalala ya kushindana na Kenya tunatakiwa tujilinganishe ns mataifa yenye wingi wa rasilimali kama sisi. Ni suala la muda tu, Tanzania inatakiwe iwe na uchumi mkubwa kuliko nchi yoyote ya EAC.