Magufuli ainyang'anya tena Kenya fursa, kama alivyofanya katika bomba la Uganda.

Magufuli ainyang'anya tena Kenya fursa, kama alivyofanya katika bomba la Uganda.

Punguza dose jombaa, walimu wa Kenya watatua RSA upende usipende, hiyo ni fact ambayo haitabadilika hata ukijitia hamnazo au ufunge na kuomba. Tena kazi yao wataifanya bila ya kumtazama yeyote yule kama tu serikali yao ilivofanya ilipofanikisha fursa hiyo kwao. Its the Kenyan way, but do we say.
Haitatokea kaka endeleeni ku sign MOU 😆😆😆😆😆 wakati sisi tunaenda direct kumaliza shughuli na namibia wamekubali na zimbabwe pia 👏👏👏👏 ama kweli magu chuma
 
Meanwhile sisi tunawaza mengine mengi ya maana zaidi. Kama ilivyo kawaida yenu tufateni kama mkia.
Munawaza nini ??? Hebu tueleze munayowaza kuuza parachichi china??😆😆😆😆😆 wakat nimeskia masharti yamewatoeni makamasi
 
Waalimu wa kenya watakua kwenye nafasi nzuri zaidi kwa vile na kizungu kinapanda itasaidia kuwaelimisha wa south kuliko wabongo
Kwa vile unaona waalimu wanaokwenda huko kutoka tanzania ni vilaza au sio??? Baba mark my words hakuna mwalimu yoyote wa kenya atakwenda south africa kufundisha
 
Mliona walimu wetu wamekubaliwa kuenda huko sasa mkafuata pia mpewe nafasi. Nyinyi mnapenda kushindana na KE sana.
Ku sign MOU sio kukubaliwa we boya 😆😆😆😆😆 hakuna mkenya atakwenda south africa kufundisha kiswahili subiri ujionee
 
Tanzania kuendekeza malumbano na mashindano ya kiuchumi na nvhi kama Kenya tunapoteza muda. Kenya hawana hata robo ya rasilimali tulizo nazo. Badalala ya kushindana na Kenya tunatakiwa tujilinganishe ns mataifa yenye wingi wa rasilimali kama sisi. Ni suala la muda tu, Tanzania inatakiwe iwe na uchumi mkubwa kuliko nchi yoyote ya EAC.
 
Huwezi kuongelea suala la rasilimali mpaka uhakikishe watu wako wamepata elimu kwenye kila sector na tanzania ilifanya vzr sana kusubiri na kuzuia rasilimali zake mpaka ilipohakikisha watanzania wamesoma na man power kwenye kila sector ipo,
 
Kenya bado walimu wetu wataenda Sauzi Afrika, kwa hivyo hatujanyang'anywa fursa. Ramaphosa amewaonea huruma akaamua kuwapa fursa kidogo hata hivyo KE itapewa asilimia kubwa ya fursa kushinda TZ.

Ahaaa haaa haaa
Hayo ni MAONI YAKO. Basing on your wishful thinking.
 
Hata mihogo tulichangamkia dili ila kuitimiza imekuwa ni kazi haiwezekani...sisi wabongo tuna kasoro.
 
Hujui finance, you better shut up.
Haitatokea kaka endeleeni ku sign MOU 😆😆😆😆😆 wakati sisi tunaenda direct kumaliza shughuli na namibia wamekubali na zimbabwe pia 👏👏👏👏 ama kweli magu chuma
 
Hivi ulishaona Tanzania inakuja kujifunza kitu kwenu!!!? Zaid nyie ndio huwa mnakuja kujifunza tz mfano brt.
Kuna vitu vingi wametufunza ndugu zetu wa Kenya e.g
1. Microfinance
2. Islamic Banking
3. Greenhouse Farming and Drip Irrigation
4. Hydroponic Farming
5. Soko Huria
Hata vitabu vya Mwalimu Nyerere alivyoviandika kwa kiswahiki vikihaririwa na Sheikh Abdillah Nassir Kaka yake na Dr. Abdullatif Abdallah ambao ni Wakenya
 
Tanzania kuendekeza malumbano na mashindano ya kiuchumi na nvhi kama Kenya tunapoteza muda. Kenya hawana hata robo ya rasilimali tulizo nazo. Badalala ya kushindana na Kenya tunatakiwa tujilinganishe ns mataifa yenye wingi wa rasilimali kama sisi. Ni suala la muda tu, Tanzania inatakiwe iwe na uchumi mkubwa kuliko nchi yoyote ya EAC.
Tunachokosa sisi ni Rasilimali watu ili wasimamie Rasilimali nyingine zifanye vizuri
 
..Tz hatuna waalimu wa kutosha halafu tunajisifu kupeleka waalimu SA!?

..kuna wakati Magufuli alitaka kupeleka madaktari Kenya.

..baadhi yetu tulipinga uamuzi huo, na tunashukuru MUNGU haukufanikiwa.

..mimi uamuzi huu sikubaliani nao. Ningempongeza Raisi kama angeweza kushawishi nchi nyingine zitusaidie kukabiliana na shortage ya waalimu hapa Tz.
 
Back
Top Bottom