Magufuli ainyang'anya tena Kenya fursa, kama alivyofanya katika bomba la Uganda.

Magufuli ainyang'anya tena Kenya fursa, kama alivyofanya katika bomba la Uganda.

Sasa hiyo ndiyo vizuri, nilifundishwa kifaransa na mwalimu ambae hajui kiswahili na English anaongea broken yani akija mnakua makini na muda mwingi anatumia kifaransa, faster class watu tukawa kama tuko Paris.
If it works itakuwa poa zaidi
 
Unamaanisha hicho kizungu cha kinyang'au? Ha ha ha, wasauzi hawana shida hiyo.
Namaanisha kwenye process ya kutafsiri mtu asipowlewa neno la kiswahili wanatafairiwa kwa kizungu as kenyan ticha atakuwa anajua kizungu na kiswahili vzur
 
Aah wapi, kazi kuiga tu, mbona hizi fursa zilikuwepo kabla ya Kenya kuzichangamkia? Kenya ndio baba yao A.M. tukifanya lolote mnafatilia kwa umakini wa hali ya juu ili mjifunze. Hamna idea, mpo mpo tu.
Hivi ulishaona Tanzania inakuja kujifunza kitu kwenu!!!? Zaid nyie ndio huwa mnakuja kujifunza tz mfano brt.
 
smart on what exactly copy pasting Kenya's projects or succumbing to every investment conditions just to beat Kenya,?
Kwani tumewacopy kitu gani maana ka sgr ya kwenu na ya kwetu ztakua tofauti ..
Ya tz ya umeme na ya Kenya ya diesel..sasa tumeiga nn wakati ni vitu viwili tofauti
 
Kwani mlima Kenya una barafuu!?? Hahahaa huo wizi nyie mlizaliwa nao
Haha! 😀 Alafu usidhani ni mzaha. Umenikumbusha tukio lengine lililonishangaza mno na ambalo sikutaka kuamini kwamba ni kweli. Rais U.K alitoa kadi ya kuwatakia wakenya heri na fanaka za krisimasi/mwaka mpya 2017 kutoka ikulu, kama ilivyo kawaida kila mwaka. Watz wakazua vurugu mitandaoni wakisema kwamba background ya picha ambayo ilikuwa ni Mlima Kenya eti ni Kilimanjaro. Mzee wa mikwara naye akakurupuka kama kawa, na watz wakapata kadi yao ya kwanza kutoka ikulu.
img-20161228-wa0033-jpg.451381
img-20161231-wa0133-jpg.452538
Copy and paste mbovu hadi niliona aibu kwa niaba ya majirani. Hivyo ndivyo mambo yalivyo. Mungu awabariki wakenya wenzangu, wazidi kuwa watu wanaojiamini, wabunifu na wenye moyo wa kudhubutu.
 
Ndo mnataka kufundisha watu kiswahili wakati misamiati hamjui.
[/QUOTE)

nani kakwambia hatujui.,,you think when kenyans use sheg to communicate they write sheg in exams.,,,? Nyinyi ni wale watu wa kuemphasize things that cannot help you in life kama 'kaakaa gumu na kaakaa laini shit'
 
Kwani tumewacopy kitu gani maana ka sgr ya kwenu na ya kwetu ztakua tofauti ..
Ya tz ya umeme na ya Kenya ya diesel..sasa tumeiga nn wakati ni vitu viwili tofauti
tulijenga yetu then you thought of outshining Kenya by building an electric one.,,trust me your government will not deliver an electric sgr.,,poor planning
 
tulijenga yetu then you thought of outshining Kenya by building an electric one.,,trust me your government will not deliver an electric sgr.,,poor planning
Tunajenga kwa matakwa ya wateja wetu na future ya vizazi vyetu it has nothing to do with ur sgr..
By the way tz hashindani na mtu yeyote.. Tunafanya ya kwetu kwa mahitaji yetuu anko
 
k
Tunajenga kwa matakwa ya wateja wetu na future ya vizazi vyetu it has nothing to do with ur sgr..
By the way tz hashindani na mtu yeyote.. Tunafanya ya kwetu kwa mahitaji yetuu anko
keep telling yourself that maybe you'll believe it
 
tulijenga yetu then you thought of outshining Kenya by building an electric one.,,trust me your government will not deliver an electric sgr.,,poor planning
Lamba lolo...et poor planning hahahaa..
Hivi kati ka reli inayofika hadi Rwanda na tunawaza kuipeleka na Uganda na reli yenu iloishia porini nan ana poor planning??? Akili kwel ni nywele ila wee utakuwa unauparaa
 
Haya waalimu ajira ndio hizo, ila ulinzi unatakiwa huko kwani mambo ya xenophia sio poa.
 
Lamba lolo...et poor planning hahahaa..
Hivi kati ka reli inayofika hadi Rwanda na tunawaza kuipeleka na Uganda na reli yenu iloishia porini nan ana poor planning??? Akili kwel ni nywele ila wee utakuwa unauparaa
lamba lolo is a kenyan phrase na sio kiswahili sanifu.,,haha see the copying am talking about
 
Back
Top Bottom