Kweli wewe ulivyo jitambulisha kuwa mfungwa ni kweli akili yako imefungwa haiwezi kufikiri kwa mapana na marefu na unapaswa kuondoa akili yako kifungoni.Badilika uwe huru kifikra.
Ujinga na upumbavu mtupu?
Hivi unadhani na watu wa Magufuli wakianza kufanya hiki kinachofanywa na wajinfa wakisaidiana na wapumbavu kutakuwa na amani katika kampeni za uchaguzi.
Mshukuru watu wa upande wa Magufuli ni wastaarabu na wanafahamu dhana ya kukubali kutokubaliana katika msingi wa demokrasia.
Mkuu sio lazima uwe CCM kusimama kwenye ukweli wote tunataka kuona mustakabali wa kiuchumi unabadilika na kuwafikia wengi. Hilo liko wazi kati ya Magufuli na Lowassa atakaye leta mabadiliko hayo.Mkuu Eric kuliko niwe ccm bora niwe maiti
Hilo la ugonjwa liko wazi wala si kumvunjia heshima Lowassa anaumwa.
Tukio la duni ni recently na kikubwa wananchi walitaka kusikia hoja sio matusi aliyoyaanzisha kwa CCM, either way sikubaliani na kuzomewa kwake sio ustaarabu hila viongozi wa CCM wamekuwa wakisema sana kwa wanachama wao kuacha kuzomea watu na kueshimu maamuzi ya wengine sijasikia UKAWA wakitoa matamshi ya aina hiyo tangia uchaguzi uanze.
Wenyewe ndiyo mabingwa wa kulalamika lakini upuuzi wanaofanya wanaita nguvu ya umma.
Kwa akili yao wanadhani JF ni mali ya Chadema.
Wakati JF ni jukwaa huru wapo wenye vyama na wasiyokuwa na vyama.
Wenyewe ndiyo mabingwa wa kulalamika lakini upuuzi wanaofanya wanaita nguvu ya umma.
Kwa akili yao wanadhani JF ni mali ya Chadema.
Wakati JF ni jukwaa huru wapo wenye vyama na wasiyokuwa na vyama.
Hujaelewa nini habari ndiyo hiyo.
Hivi usikii?? CCM wameshavuruga kampeni za Lowassa mnoo. Masaburi Dar kuwandaa vjn waandamane.msukuma kusema hadharani Lowassa kajinyea Bulembo kusema ccm haitaruhusu upinzani kwenda Ikulu kauli gani hizi? Si uchochezi huo? Mkuki kwa nguruwe. Lkn nakuhakikishia huyu msukuma alichosema kitawakosesha ccm kura haki yanani
Ndio maana alijiita mfungwa wakati lowasa akiwa Ccm. Amekuja kwangu pole sikai na mwizi mimi ni mzalendo halisi na mtanzania original. Siwezi kumpa kura mwizi. # hapa ni kazi tu.
Sometimes ukizisoma akili za UVCCM ni shider,so vicent ndo ananyonyaga naniliu za wanaume,mpaka ajue huyu ana govi na huyu hana?..
ha ha ha,viongozi wa chadema bana.....!!.
au labda mkewe alimsimulia nini....
Kasoro TA MIGANYIZI Hao wengine wanakatiwa mauno wakitosheka watakuja speed kumtetea MAKUNFULI..!
Ustaarabu wako kamfunze kwanza Msukuma,
Baada ya jana Vincent kumjibu Msukuma kuwa mzee pusher ana mkono wa sweta leo mko kimya hata hamgusii matusi yenu.
Acheni kulialia dawa ya moto haijawa maji hata siku moja ni moto.
Kwa kauli hiyo inaonekana unakubali pia Lowassa ni mgonjwa sasa mgonjwa anafaa kweli kuwa raisi huu sio ugonjwa mwingine wowote ni conditional disease ambayo ina affect uwezo wa mtu physically na mentally kwa hivyo unaweza kuona kwanini kuna umuhimu wa kuwakumbusha wapiga kura kuhusu huo ungonjwa wenyewe.la ugonjwa lipo wazi= la wanambeya kutomtaka magufuli lipo wazi pia iweje kumwambia ukweli ionekane ni vurugu?
Mbarari?!
Anyway, Tatizo la magufuli hafanyi siasa za kitaasisi, anajiendea yeye kama yeye. Nilimsikia Mzee Sumaye akiwa Hai juzi kuwa Magufuli amemkwaza Mwenyekiti wake. Sasa aangalie asizomewe mbeya..